Kipindupindu chaingia Moro, Shinyanga, mmoja afariki
Wakazi wa Kata ya Mindu Manispaa ya Morogoro wamekumbwa na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu ambapo hadi sasa mtu mmoja ameripotiwa kufa na hivyo kuzua hofu kwa wakazi wa eneo hilo na manispaa kwa ujumla.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi29 Sep
Kipindupindu chaingia Morogoro, mmoja afariki dunia
9 years ago
Mwananchi26 Sep
Mmoja afariki, kambi ya kipindupindu yapungukiwa dawa
9 years ago
Mwananchi28 Aug
Kipindupindu chaingia Pwani
9 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AFANYA MKUTANO NA AKINA MAMA ZAIDI YA 300 KUPAMBA NA KIPINDUPINDU SHINYANGA
Hapa ni katika ukumbi wa NSSF mjini Shinyanga ambako wanawake/akina mama zaidi ya 300 wa manispaa ya Shinyanga wamekutana kujadili namna ya kupambana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umeukumba mkoa wa Shinyanga.Mkutano huo umeitishwa na mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro.Akina mama hao waliojitokeza kwa wingi leo jioni Oktoba 06,2015 wameweka mikakati mbalimbali ya kutokemeza ugonjwa kipindupindu ambapo Jana pekee wagonjwa 9 wamelazwa katika kambi maalum jirani na hospital ya...
9 years ago
Habarileo30 Aug
Moro wajipanga kudhibiti kipindupindu
MKUU wa mkoa wa Morogoro (RC), Dk Rajab Rutengwe, amewataka watendaji wa kata na mitaa katika halmashauri za mkoa huo kuhakikisha kila mmoja anawajibika ipasavyo kusimamia suala la usafi wa mazingira na kuzuia uuzaji holela wa vyakula na matunda.
9 years ago
StarTV07 Nov
Mlinzi mmoja afariki, mmoja ajeruhiwa Geita
Walinzi wawili wanaolinda katika baa ya Wacha Waseme na Lunguya mjini Geita wamejeruhiwa na vitu vyenye ncha kali ambavyo vimesababisha kifo cha mlinzi mmojawapo.
Mlinzi huyo aliyejulikana kwa jina moja la Michael amefariki dunia baada ya kufikishwa katika Hospitali ya Wilaya ya Geita.
Tukio hilo limejiri majira ya usiku wakati walinzi hao wakiwa wamelala katika lindo ambapo watu wasiojulikana wanadaiwa kuvamia na kuwashambulia na kuvinjwa katika baa ya lunguye na kuiba shilingi elfu tisini...
9 years ago
Habarileo26 Aug
Dar, Moro watu 262 wana kipindupindu
WATU nane wamethibitishwa kufariki kwa ugonjwa wa kipindupindu na wengine 262 wameambukizwa maradhi hayo katika mkoa wa Dar es Salaam na Morogoro. Waziri wa Afya na Usatwi wa Jamii, Dk Seif Rashid akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mwenendo wa maradhi ya ugonjwa huo uliozuka hivi karibuni alisema hadi kufikia jana, kwa mkoa wa Dar es Salaam, watu saba wamefariki na wengine wapatao 230 tayari wameambukizwa ugonjwa huo.
9 years ago
Habarileo20 Nov
Kipindupindu chaua mmoja wilayani Nkasi
UGONJWA wa kipindupindu umeibuka wilayani Nkasi mkoani Rukwa na mpaka sasa umeua mtu huku wengine 19 wakipatiwa matibabu katika vituo vitatu tofauti vilivyotengwa katika mwambao mwa Ziwa Tanganyika wilayani humu baada ya kuathirika kwa ugonjwa huo.
9 years ago
Mwananchi16 Sep
Mapigano ya wakulima, wafugaji yaua mmoja Moro