Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kipindupindu chaingia Pwani

Baada ya kushambulia mikoa ya Dar es Salaam na Morogoro, ugonjwa wa kipindupindu sasa umepiga hodi katika Mkoa wa Pwani na tayari watu tisa wameonekana kuwa na dalili za ugonjwa huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chaingia Moro, Shinyanga, mmoja afariki

Wakazi wa Kata ya Mindu Manispaa ya Morogoro wamekumbwa na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu  ambapo hadi sasa mtu mmoja ameripotiwa kufa na hivyo kuzua hofu kwa wakazi  wa eneo hilo na manispaa kwa ujumla.

 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chaingia Morogoro, mmoja afariki dunia

Wakazi wa Kata ya Mindu Manispaa ya Morogoro wamekumbwa na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu  ambapo hadi sasa mtu mmoja ameripotiwa kufa na hivyo kuzua hofu kwa wakazi  wa eneo hilo na manispaa kwa ujumla.

 

9 years ago

Michuzi

MAKALA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU: Tujilaumu Watanzania kwa kuugua Kipindupindu

Na  Raymond Mushumbusi- MAELEZO
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam “vibro cholera”. Chanzo cha kikubwa cha ugonjwa huu huletwa na vimelea vilivyomo kwenye kinyesi na matapishi ya mgonjwa wa kipindupindu.
Kwa miaka mingi sasa wananchi wa Tanzania tumekumbwa na magonjwa ya aina mbalimbali ya mlipuko ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu ambao umeenea kwa kasi kubwa sana kutokana na kuwepo kwa mazingira hatarishi...

 

10 years ago

Michuzi

Chuo Kikuu cha Nelson Mandela jijini Arusha chaingia mkataba na kampuni ya Huawei Tanzania

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya HUAWEI Tanzania, Peter Jiang(Kushoto) na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela cha Arusha, Profesa Lughano Kusiluka, wakisaini mkataba wa Shilingi Milioni 51 kama msaada wa kuchangia utafiti wa matatizo mbalimbali ya jamii nchini zilizotolewa na Kampuni hiyo mwishoni mwa wiki. Meneja Uhusiano wa Kampuni ya HUAWEI Tanzania, Peter Jiang(Kushoto) akimkabidhi mkataba, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela cha Arusha, Profesa Lughano...

 

9 years ago

GPL

UGONJWA WA KIPINDUPINDU

Leo tutachambua ugonjwa wa kipindupindu unaozikumba jamii mbalimbali na kuathiri nchi nyingi za Kiafrika Tanzania ikiwemo. Ugonjwa wa kipindupindu ni tatizo kubwa la kiafya kwa nchi zinazoendelea, ambako milipuko yake hutokea kufuatana na misimu ya hali ya hewa na kuhusishwa na suala la umaskini na usafi duni. gonjwa huo husababisha mtu kuharisha choo kingi cha maji maji ambacho hufanya maji kupungua haraka mwilini hali ambayo...

 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chatua gerezani

Mahabusu wawili wa Gereza la Wilaya ya Musoma mkoani Mara, wamefariki dunia baada ya kukumbwa na ugonjwa wa kipindupindu

 

9 years ago

Michuzi

9 years ago

Raia Tanzania

Vyakula shuleni na kipindupindu

AGOSTI 18, 2015 Dar es Salaam ilipata taarifa mbaya ya mlipuko wa Kipindupindu, mtu mmoja aliugua na kufariki.

Ingawa baadaye ulisambaa hadi Morogoro, kwa sasa jijini hapa idadi inaongezeka siku hadi siku. Takwimu za mwishoni mwa mwezi uliopita zinaonyesha kuna wagonjwa 417.

Kwa mujibu wa maofisa afya, ugonjwa huu unasababishwa na uchafu hasa ulaji wa kinyesi kibichi bila kufahamu na hivyo kushauri jamii kuzingatia usafi hasa waendapo maliwatoni, wahakikishe wananawa kwa sabuni kila...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani