Kisa cha Zaidi ya watu 60 wanaodhaniwa wafuasi wa Chadema kutiwa mbaroni hiki hapa:
Polisi mkoani Iringa inawashikilia zaidi ya watu sitini wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kwa tuhuma za kuhatarisha amani kwenye barabara inayotoka katika uwanja wa michezo wa Samaro kwenda Kihesa.
Tukio hilo limetokea wakati Chama cha Mapinduzi CCM kupitia kwa mgombea wake wa Urais Dokta John Magufuli kufanya mkutano wa Kampeni za Urais kwenye uwanja wa michezo wa Samora Mjini Iringa.
Kadri siku zinavyojongea kufanyika kwa uchaguzi mkuu,hali ya kuanza...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog14 Nov
Zaidi ya watu 120 wameuwa baada ya tukio la kuvamiwa kwa jiji la Paris na watu wanaodhaniwa kuwa magaidi
Vikosi vya uokoaji wakiendelea na kutoa huduma wakati wa tukio hilo usiku wa kuamkia leoo katika jiji la Paris, nchini Ufaransa.
[PARIS] Watu zaidi ya 120 wameuwa na watu wanaodhaniwa kuwa magaidi baada ya kuvamia jiji la Paris, Ufaransa nje ya uwanja wa uliokuwa ukichezwa mchezo wa kirafiki kati ya Ufaransa na Ujerumani (Stade de France).
Ripoti zinasema wakati mchezo huo ukiendelea ilisikika milio ya mabomu matatu (3) yakilia nje ya...
10 years ago
Habarileo18 Sep
Wafuasi wa Chadema mbaroni
WATU wawili wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Goodluck Hamandi (26), mkazi wa Mtoni na Fulgence Shayo (18) mkazi wa Mazimbu katika Manispaa ya Morogoro mkoani hapa, wamekamatwa na polisi wakituhumiwa kufanya fujo.
10 years ago
StarTV12 Sep
Walimu wacharazwa viboka huko Kimba kisa hiki hapa:
Walimu watatu wa kike wa shule ya Msingi Mwabagole wilayani Kwimba mkoani Mwanza wamevamiwa, kushambuliwa na kupigwa viboko na baadhi ya wazazi baada ya watoto wao kupewa adhabu ya viboko kwa kuvunja sheria za shule.
Walimu walilazimika kutoa adhabu ya viboko viwili viwili kwa wanafunzi ambao walikutwa wakishabikia ugomvi wa wanafunzi wawili waliokuwa wakigombana muda wa mapumziko ya masomo.
Wakati zoezi la kuwachapa wanafunzi hao likiendelea ndipo ghafla baadhi ya wazazi waliokuwa katika...
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Kilio cha taifa letu ni hiki hapa
10 years ago
Mwananchi16 Jun
Kibano cha wagombea urais CCM hiki hapa
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
VijimamboWATU 9 WAJERUHIWA KATIKA VURUGU KATI YA MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA MBEYA MJINI NA WAFUASI WA CCM
11 years ago
Michuzi14 Sep