Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu wacharazwa viboka huko Kimba kisa hiki hapa:

Walimu watatu wa kike wa shule ya Msingi Mwabagole wilayani Kwimba mkoani Mwanza wamevamiwa, kushambuliwa na kupigwa viboko na baadhi ya wazazi baada ya watoto wao kupewa adhabu ya viboko kwa kuvunja sheria za shule.

Walimu walilazimika kutoa adhabu ya viboko viwili viwili kwa wanafunzi ambao walikutwa wakishabikia ugomvi wa wanafunzi wawili waliokuwa wakigombana muda wa mapumziko ya masomo.

Wakati zoezi la kuwachapa wanafunzi hao likiendelea ndipo ghafla baadhi ya wazazi waliokuwa katika...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Kisa cha Zaidi ya watu 60 wanaodhaniwa wafuasi wa Chadema kutiwa mbaroni hiki hapa:

 Polisi mkoani Iringa inawashikilia zaidi ya watu sitini wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kwa tuhuma za kuhatarisha amani kwenye barabara inayotoka katika uwanja wa michezo wa Samaro kwenda Kihesa.

Tukio hilo limetokea wakati Chama cha Mapinduzi CCM kupitia kwa mgombea wake wa Urais Dokta John Magufuli kufanya mkutano wa Kampeni za Urais kwenye uwanja wa michezo wa Samora Mjini Iringa.

Kadri siku zinavyojongea kufanyika kwa uchaguzi mkuu,hali ya kuanza...

 

10 years ago

Vijimambo

KITENDO HIKI CHA ZUA MJADALA HUKO TANZANIA JITIRIRISHE HAPA CHINI NA WEWE UNALA KUSEMA

Kwa wanamichezo ni kama kumpa moyo mchezaji mwenzie au kama pongezi.Hapa ni rais Bush akimpongeza mchezaji wa timu ya taifa ya volleyball ya Marekani.Hapa ni kocha wa timu ya taifa ya CameroonBeki wa Mbeya City Juma Nyosso.Na Waandishi WetuSIKU moja baada ya Gazeti la Championi kutoa picha ya beki wa Mbeya City, Juma Nyosso akionekana kumfanyia ndivyo sivyo straika wa Simba, Elias Maguri, makubwa yameibuka.

Uongozi wa Simba na Maguri wote kwa pamoja wametoa kauli juu ya tukio hilo na...

 

10 years ago

Vijimambo

HAPA HUDDAH HAPA ZARI BILA DIAMOND HUKO KENYA KULIKONI

Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye pati iliyoandaliwa na Zari na Huddah [Boss Lady wa Uganda na Kenya]. Pati ilifanyika kwenye mgahawa wa Art Of Luxury #Skylux Lounge iliyopo Kenya. Watonyaji wali ng'atana sikio kuhusu mchumba wa Zari kutoka Tanzania mbona akuonekana pembeni na vipi mbona kimbwida cha Zari akionekani hewani kama mkungu wa ndizi au mambo ya Project hadi tumboni?. Jitiririshe na picha za warembo hao hapa chini na ufunge mdomo kimya kimya.   

 

9 years ago

Global Publishers

Aliyemchinja mama yake kisa ni hiki

IMG_0818
Na Waandishi Wetu, UWAZI
DAR ES SALAAM: Simulizi inauma! Baada ya Erasto Kilaini, 23, (pichani) mkazi wa Mtaa wa Fida Hussein, Vingunguti Kiembembuzi, Dar kumchinja mpaka kumuua mama yake mzazi, Margaret Kilaini (47) na jirani yao, Mama Alonso, chanzo cha unyama huo kimejulikana, Uwazi lina kisa kamili.

Erasto ambaye pia ni marehemu, anadaiwa kutenda ukatili huo, Desemba 18, mwaka huu nyumbani kwao huko, hali iliyoacha simanzi mpaka sasa.

IMG_1651WALIVYOSEMA WANAOJUA
Kwa mujibu wa mtu mmoja...

 

10 years ago

Vijimambo

HIKI NDICHO KILICHOTOKEA HUKO BALTIMORE KUTOKANA NA MTITI WA FURUGU ZA RAIA NA POLISI


Uwanja wa Baltimore Orioles ulikuwa mweupe bila watu kutokana na ghasia za raia na polisi watu wote wameogopa kutoka nje na kwenda kushuhudia mchezo kati ya timu ya Baltimore Orioles na Chicago White Sox. Machafuko hayo yaliyosababishwa na tukio la kifo cha kijana mmoja aliekufa mikono mwa polisi hapo ndipo mtiti ulianza baada ya vijana hadi wazee kuingia mtaani na kuanza kuandamana sambamba na uharibifu wa mali za watu na magari kuchomwa moto.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kilichowaangusha wasaliti hiki hapa

TAMAA ya madaraka na fedha, vimetajwa kama sababu kubwa zilizowasambaratisha wanasiasa wengi waliowahi kuvuma ndani ya vyama mbalimbali vya upinzani nchini tangu kurejea kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani