Kishindo cha Obama Kenya
>Shangwe na shamrashamra zimeendelea kutawala mjini Nairobi kufuatia kuwasili kwa Rais wa Marekani Barack Obama aliyewasili jana akiwa ameambatana na ujumbe mzito.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi26 Nov
Kishindo cha Papa Francis Kenya
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis aliyetua Nairobi jana saa 10:45 jioni, leo ‘atajichanganya’ katika moja ya majukumu muhimu wakati akiwa katika siku ya pili ya ziara yake nchini Kenya.
10 years ago
BBCSwahili17 Jul
Obama kutozuru kijiji cha babaake Kenya
#ObamainKenya ndilo neno linalotawala mitandao ya kijamii nchini Kenya huku rais huyo akitarajiwa kulitembelea taifa hilo.
10 years ago
Bongo528 Jul
Ujio wa Obama nchini Kenya waacha historia, watoto waliozaliwa siku aliyowasili waitwa Barack Obama na wengine ‘AirForceOne’
Ujio wa Rais wa Marekani, Barack Obama umeacha historia ya mambo mengi kwa wananchi wa Kenya. Baadhi ya wazazi wa watoto waliozaliwa siku ambayo Obama alitua nchini Kenya Ijumaa ya July 24, wamewapa watoto wao majina yanayohusiana na Rais huyo. Mzazi mmoja aliyejifungua mtoto wa kiume siku hiyo aliamua kumpa mtoto wake jina la Rais […]
10 years ago
Habarileo10 Oct
Kenyatta arejea Kenya kwa kishindo
RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta amerejea nchini kwake akitokea The Hague, Uholanzi alikoenda kuhudhuria kesi dhidi yake katika Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jina (ICC), huku akipokewa nchini humo kwa shangwe na vigelegele.
10 years ago
BBCSwahili24 Jul
10 years ago
BBC27 Jul
10 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/16A73/production/_84478729_breaking_image_large-3.png)
President Obama arrives in Kenya
Barack Obama arrives in Kenya on the first visit to his ancestral home as serving US president.
10 years ago
BBCSwahili30 Mar
Obama kuzuru Kenya Julai
Ikulu ya Whitehouse imethibitisha kuwa Rais wa Marekani Barrack Obama atazuru Kenya mwezi Julai taifa la babake
10 years ago
Vijimambo08 Jul
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania