Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kitafutwe kiini cha vurugu katika chaguzi

Uchaguzi wa madiwani katika kata 27 za Tanzania Bara ulimalizika juzi, huku zikiwapo taarifa za kutokea vurugu katika baadhi ya kata zilizopo katika wilaya za Arusha, Njombe, Kahama, Bunda, Mbeya, Mtwara na kadhalika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAMPUNI YA BRITTS EVENT YAELEZEA KIINI CHA VURUGU KWENYE SHOW YA DIAMOND, UJERUMANI

Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Britts Event, Awin Williams Akpomiemie. Kampuni ya Britts Event iliyohusika kuandaa show ya Diamond Stuttgart, Ujerumani imeeleza kwa kina kiini cha vurugu kubwa zilizotokea kwenye show hiyo na kusababisha uharibifu mkubwa huku baadhi ya watu wakijeruhiwa vibaya. Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni hiyo, Awin Williams Akpomiemie ameeleza kwa kina kuhusu mzozo uliokuwepo ndani ya kampuni hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

VURUGU ZAZUKA KATIKA MJI WA ILULA MKOANI IRINGA LEO,BAADA YA KIFO CHA MWANAMKE MMOJA.

Wananchi wa mji wa Ilula katika wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo wamezua tafrani dhidi ya Askari Polisi baada ya mwanamke mmoja kupoteza maisha kwa kudaiwa kusababishwa na Askari hao waliokuwa kwenye msako wa kukamata watu wanaokunywa pombe wakati wa kazi.
Kutokana na tukio hilo, mwanamke huyo aliyepoteza Maisha aliyetambulika kwa jina la Mwanne Mtandi aliamua kukimbia kwa lengo la kukwepa kukamatwa na Polisi hao Kabla ya kukutwa nyuma ya jengo la kilabu hicho cha pombe za kienyeji...

 

9 years ago

Mwananchi

Athari za Nyerere katika chaguzi za Tanzania

Huwezi kusikiliza lolote kuhusu kampeni za uchaguzi Tanzania bila kulisikia jina la Mwalimu Julius Nyerere likitajwa kwa kunukuliwa alichokisema. Kila upande, uwe ni upinzani au Chama Cha Mapinduzi (CCM) mgombea akitaka kutia uzito maneno yake, atamnukuu Mwalimu Nyerere.

 

10 years ago

Mwananchi

Tufunguke tusiburuzwe na vyama katika chaguzi

Tumeufikia mwaka wa uchaguzi. Ni mwaka wa furaha kwa wengine kwani wameishi kwa matumaini ya kupata nafasi za uongozi kwa kipindi wanachojua wao na hivyo mwaka huu ni mwaka wao wa kujaribu bahati yao.

 

10 years ago

Mwananchi

Katika chaguzi utashi wa wananchi uheshimiwe

Juzi tulishuhudia tukio lisilo la kawaida hapa nchini, ambalo bila shaka limeacha mjadala mkubwa utakaoendelea kwa muda mrefu ujao. Jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

Sumatra kiini cha ajali barabarani

WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel SittaWAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema ajali za barabarani zinachangiwa na uzembe wa taasisi inayosimamia sekta ya usafiri jambo linalogharimu maisha ya watu wasio na hatia, na kuitaka taasisi hiyo kuchukua hatua na kuhakikisha nidhamu inarejea kwenye sekta hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Mitandao kiini cha wanafunzi kufeli

IMEELEZWA kuwa chanzo cha wanafunzi wengi kufeli masomo yao ni kutokana na kutumia muda wao mwingi kwenye masuala ya utandawazi, hasa mitandao, badala ya kujisomea.

 

11 years ago

Habarileo

Kiini cha majengo mabovu chatajwa

UKWEPAJI wa gharama za ujenzi wa nyumba, unadaiwa kuchangia kuwepo majengo yasiyo na ubora katika maeneo mbalimbali hapa nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani