Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kitale: Uteja una mwisho wake

DSC_1545Mkali wa vichekesho nchini, Musa Kitale ‘Mkude Simba’.

Ibrahim Mussa, Dar es Salaam

MKALI wa vichekesho nchini, Musa Kitale ‘Mkude Simba’ amefunguka kuwa siku zote amekuwa akipenda kuigiza kama mtu anayetumia madawa ya kulevya, anaamini kuwa itafika kipindi atakuja na mtindo mwingine ambao utakuwa gumzo zaidi.

Akizungumza na Mikito Jumatano, Kitale alisema amekuwa akitumia mtindo huo kwa ajili ya kutoa somo kwa vijana wa Kitanzania namna vijana wanavyoathirika na utumiaji wa madawa hayo huku...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

KITALE KUACHIA FILAMU YA MWISHO ALIYOFANYA NA MAREHEMU SHARO MILIONEA

Staa wa filamu za ''Comedy'',Kitale ''Mkude Simba''anatarajia kufanya uzinduzi wa filamu ya mwisho aliyoifanya na aliyekuwa msanii mwenzake wa filamu hizo marehemu,Ramadhani Mkieti ''Sharo Millionea'' iitwayo Safra Hasara.Kupitia mtandao wa Instagram Kitale aliandika .....Hii ndio movie ya mwisho kucheza na mdogo wng rafiki yng ndugu yng SHARO MILIONEA Hii karibuni itakuwa mtaani USIKOSE KUPATA NAKALA YAKO ..

 

10 years ago

Bongo Movies

Hii Ndio Show na Kauli ya Mwisho ya Sharo, Sikujua Kwanini Alitaka Tufanye Kazi na Stanbakora-KITALE

Show ya mwisho kufanya na marehemu sharo ilikuwa mwembe yanga show ya DTV nakumbuka ilikuwa inaitwa "NI WAKATI WAKO" baada ya hapo kesho asubuhi tukaenda tanga kushuti movie yetu hii (Safara Hasara) ambayo 20/04/2015 ndio inatoka tukamaliza kushuti salama salimini tukarudi DAR usiku napigiwa simu na marehemu sajuki anataka niende kwenye show yake iringa CHANGIA SAJUKI tarehe 25/11/2012 akabaki kwa sababu alikuwa katoka magomeni kaamia sinza ana siku mbili bado mgeni sinza basi mimi nikafanya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Asia Idarous: Muziki wa mwambao asilia una mguso wake

MWANAMITINDO mkongwe na mdau wa muziki wa mwambao asilia, Asia Idarous Khamsin, amesema muziki huo una mguso wake hivyo jamii inatakiwa kuupokea na kuuenzi. Asia ambaye pia ni Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

GPL

ASIA IDALOUS: MUZIKI WA MWAMBAO ASILIA UNA MGUSO WAKE

Mdau akiwa kwenye red carpet Wageni wakuu kwenye red carpet…

 

11 years ago

Michuzi

uzee mwisho wake ....?

Mlioko huku wote ma-Bebi...tehe tehe tehe....Inasemekana wazee wa Chalinze wamekata rufaa kutaka mpaka uwe Morogoro....

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi wa aina hii mwisho wake lini?

Inashangaza. Kuna mambo tunaendelea kuyalea kila kukicha pamoja na kujua athari zake. Tunafahamu wazi, ili timu zetu zifanye vizuri kwenye mashindano, zinahitaji maandalizi mazuri yenye malengo.

 

10 years ago

Vijimambo

USIJISAHAU, UNA HAKI YA KUMPENDA, UNA HAKI YA KUMTOSA!

Hakuna ubishi mapenzi yanachukua nafasi kubwa katika maisha yetu. Mimi na wewe tunahitaji kuwa na wapenzi tena wenye mapenzi ya dhati ili maisha yetu yaweze kukamilika. Bila kuwa na mtu ambaye kuna wakati unammis, ukiwa naye unajiona ni mwenye bahati kwa faraja anayokupa, ni lazima utahisi umepungukiwa kitu muhimu.

Lakini wakati ukweli ukiwa hivyo, wapo wanaochukulia mapenzi kama kitu rahisi. Kitu ambacho anaweza kuingiza usanii na mambo yakaenda. Hapa namaanisha hivi, mtaani kuna watu wa...

 

10 years ago

GPL

USIJISAHAU, UNA HAKI YA KUMPENDA, UNA HAKI YA KUMTOSA!

Hakuna ubishi mapenzi yanachukua nafasi kubwa katika maisha yetu. Mimi na wewe tunahitaji kuwa na wapenzi tena wenye mapenzi ya dhati ili maisha yetu yaweze kukamilika. Bila kuwa na mtu ambaye kuna wakati unammis, ukiwa naye unajiona ni mwenye bahati kwa faraja anayokupa, ni lazima utahisi umepungukiwa kitu muhimu. Lakini wakati ukweli ukiwa hivyo, wapo wanaochukulia mapenzi kama kitu rahisi. Kitu ambacho anaweza kuingiza usanii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani