Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kitambulisho kukuvukisha mpaka

Wananchi wa Rwanda, Uganda na Kenya wamepokea kwa shangwe kuanza kwa mpango wa kutumiwa kwa vitambulisho vya uraia kuvuka mpaka na kuingia moja wapo wa nchi hizo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

'Hanuman' atengezewa kitambulisho

Maafisa wakuu India,wanachunguza ambavyo kitambulisho cha elektroniki chenye picha ya Hanuman mungu wa kihindi kimetumwa kwa posta

 

11 years ago

BBCSwahili

Kero la kutafuta kitambulisho TZ

Shughuli ya upatikanaji wa vitambulisho vya uraia nchini TZ imegeuka kuwa kero kwa wananchi badala ya faraja waliyoisubiri kwa hamu.

 

9 years ago

Habarileo

Mrundi akutwa na kitambulisho cha kura

POLISI mkoani Kigoma imemkamata mkimbizi wa Burundi akiwa na kadi ya kupigia kura akijiandikisha kama raia wa Tanzania na kukutwa na kadi za vyama mbalimbali za kuomba kugombea ubunge katika majimbo tofauti nchini.

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA: HAKUNA MTANZANIA ATAKAYEKOSA KITAMBULISHO CHA TAIFA


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kila raia wa Tanzania aliyeomba kitambulisho cha Taifa atakipata, hivyo amewataka waombaji ambao bado hawajapata waendelee kuwa na subira.

Amesema waombaji hao watapatiwa vitambulisho hivyo baada ya wahusika kupitia maombi yao na kujiridhisha kwamba wote ni raia wa Tanzania na Serikali inafanya hivyo ili kulinda usalama wa nchi.

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Ijumaa, Februari 21, 2020) wakati akizungumza katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ALIPOKABIDHIWA KITAMBULISHO NAMBA 1 CHA USHIRIKI KATIKA MAONESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA SABASABA (DITF) KUTOKA MAXMALIPO .

Rais  Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akabidhiwa kitambulisho Maalumu cha kielektoniki kwaajili ya Kuingia katika Maonesho ya 38 ya biashara ya Kimataifa ya Sabasaba kutika Kwa bwana Ahmed Lussasi Mkurugenzi uendeshaji wa kampuni ya Maxmalipo
Rais. Jakaya Mrisho alipata Nafasi ya kuzungumza na Maafisa wa Maxmalipo Juu ya Mfumo wa Kieletroniki wa Ticket (e-Ticketing System) uliofungwa na Maxmalipo Katika viwanja Vya Sabasaba. Pia Mheshimiwa Rais alijionea Jinsi Mfumo huu unavyodhibiti na kuboresha...

 

5 years ago

Michuzi

Corona isiwe Kisingizio cha kutonunua kitambulisho cha Ujasiliamali- RC Wangabo

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewaasa wajasiliamali Mkoani Rukwa kutotaja ugonjwa wa Corona (Covid-19) kama kikwazo cha kushindwa kununua kitambulisho cha mjasilimali kwa mwaka huu 2020, kwani wananchi wa Tanzania walihimizwa kuendelea kuchapa kazi na Rais Dkt. John Pombe Magufuli hali ambayo ni tofauti na nchi nyingine ambapo wananchi wake walikuwa wamefungiwa.

Mh. Wangabo amekataza vitambulisho hivyo kuuzwa rejareja kwani jambo hilo huzalisha wadaiwa (defaulters) na hivyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani