Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIVUKO CHA MV KILOMBERO CHAKWAMA KWA SAA 6

Kivuko cha MV Kilombero kikiwa kazini. ABIRIA wengi wamekwama katika eneo la Mto Kilombero mkoani Morogoro baada ya kivuko cha MV Kilombero kukwama kwa takribani saa 6 sasa.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Waziri Magufuli aagiza kivuko cha Kigongo-Busisi kufanya kazi saa 24

Dk John MagufuliWAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ameagiza uongozi kivuko cha Kigongo- Busisi mkoani hapa, kufanya kazi kwa saa 24 ili kumudu ongezeko kubwa la abiria watokao Geita, Kagera lililotokana na meli ya Mv Victoria kusitisha safari zake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kivuko chaua Kilombero

NAHODHA wa mtumbwi, Rajabu Lipindi maarufu kama Kidilu, mkazi wa Kijiji cha Lipagalala, amefariki dunia baada ya mtumbwi aliokuwamo kupinduka katika Mto Kilombero kutokana na upepo mkali. Kwa mujibu wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kivuko Mto Kilombero chafungwa

KIVUKO cha Mto Kilombero, Morogoro juzi kilisombwa na maji na kumlazimu Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa wilaya hiyo na Ulanga, Francis Mitti, kupiga marufuku matumizi ya kivuko...

 

11 years ago

Michuzi

MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni ambalo ujenzi wake utakamilka ifikapo Juni mwaka 2015.
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...

 

10 years ago

GPL

GLOBAL YATOA MSAADA KWENYE KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHAKWAMA

Katibu Mtendaji wa CHAKWAMA, Hassan Khamis akimuelezea jambo Ofisa Utawala wa Global Sudi Kivea. Mhasisi wa CHAKWAMA, Bi Saida Hassan akiongea na Ofisa Sudi Kuvea.
Watoto Yatima…

 

11 years ago

Michuzi

MATUKIO YA KUKATIKA KWA MAWASILIANO YA BARABARA YA KIVUKONI CHA KILOMBERO

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( kulia) akionesha kitu wakati Meneja wa Tanrords Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Dorothy Mtenga ( kushoto ) akiangalia eneo la maji lililijaa katika mto  Kilombero mei 5, mwaka huu, wakati Mkuu huyo wa Mkoa na kamati yake ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa ilipotembelea eneo la Kivukoni kuona madhara ya mafuriko. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, akiwa ndani ya boti kwenye mto Kilombero , mei 5, mwaka huu ,tayari kuanza safari ya kurejea eneo sehemu ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kivuko cha MV Kigamboni kurejea kutoa huduma kwa wakazi wa Kigamboni

pix 1

Waziri wa Ujenzi  Dkt. John Magufuli  akiongea na wajumbe mbalimbali waliofika katika  uzinduzi wa kivuko cha Kigamboni  jana jijini Dar es  Salaam kinachofanyiwa matenganezo  na Jeshi la Wanamaji maeneo ya Kurasini ,ambacho kinatarajiwa kuanza kutumika rasmi alhamisi wiki hii.

pix 2

Mtendaji  Mkuu  Temesa Injinia  Marceline Magesa akitoa neno la shukrani  kwa Jeshi la Wanamaji waliwezesha matengenezo ya Mv Kigamboni jana jijini Dar es Salaam ambapo kinatarajiwa kuanza kutumiwa na wananchi wiki...

 

11 years ago

Michuzi

DC Hai atembelea kivuko cha mnepo cha Kiyungi, aahidi kukifanyia ukarabati

Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga ametembelea kivuko cha Kiyungi kinachofahamika kama daraja la Mnepo kinachounganisha wilaya ya Hai na Moshi ambacho sasa hivi kipo katika hali mbaya kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha. Mhe Makunga ameahidi kwamba kivuko hicho kitaanza kufanyiwa ukarabati wa dhararu Jumamosi ijayo angalau kiweze kutumika wakati zinasubiriwa fedha za ujenzi wa kivuko kipya.Ameeleza kuwa kampuni ya Sukari ya TPC imekubali kutoa baadhi ya vifaa vya ukarabati.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani