kiwanja kinauzwa pugu, dar es salaam

Ukubwa: mita 20 kwa 36 ( 20m X 36m )Eneo: Bangulo CCM, Pugu Dar es SalaamBei: Milioni 9 na laki 5 ( 9.5m/- ) Tshs/Mawasiliano: +255 657 582 510
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
kiwanja kinauzwa tegeta wazo Dar es salaam


10 years ago
Michuzi
Kiwanja kinauzwa Bunju-Mabwepande, Dar es Salaam

10 years ago
Michuzi01 Apr
KIWANJA KINAUZWA
Kiwanja kinauzwa kipo mbweni Block 1, kimepimwa na kina hati halali. Ukubwa ni square meters 920(Middle Density).
Kiwanja kipo karibu na barabara kuu ya lami na kituo cha basi Kiwanja hiki ni kizuri kwa ujenzi wa nyumba ya kuishi.
Anayeuza ni mmiliki halali wa kiwanja hicho na bei ni shilingi Milioni 100.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu: 0717 935322.Au kwa barua pepe: fmaua@aol.com
Kiwanja kipo karibu na barabara kuu ya lami na kituo cha basi Kiwanja hiki ni kizuri kwa ujenzi wa nyumba ya kuishi.
Anayeuza ni mmiliki halali wa kiwanja hicho na bei ni shilingi Milioni 100.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu: 0717 935322.Au kwa barua pepe: fmaua@aol.com
11 years ago
GPL
KIWANJA KINAUZWA BAGAMOYO
Kiwanja kinauzwa, kiko Bagamoyo Ukuni jirani na standi kuu ya mabasi yaendayo mikoani, kina square meter 2,400, kinafaa kwa ujenzi wa shule, hoteli na aina nyingine ya uwekezaji. Kina hati, bei ni maelewano. Kwa maelezo zaidi piga simu: +255 657…
10 years ago
Michuzi
KIWANJA KIZURI NA KIKUBWA KINAUZWA GOBA

Kuwasiliana na mmiliki wa kiwanja piga kwenye 0766 888 333
11 years ago
Habarileo20 Apr
Jiji Dar es Salaam lahaha na dampo Pugu
HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam inahitaji zaidi ya Sh bilioni 15/- kuboresha dampo la Pugu Kinyamwezi katika Manispaa ya Ilala na kulifanya kuwa la kisasa, huku ikisisitiza waliovamia eneo hilo, lazima waondoke.
11 years ago
Michuzi
NYUMBA ZINAPANGISHWA PUGU JIJINI DAR ES SALAAM




ENEO: Nyumba ipo PUGU-Umbali wa mita 100 toka Barabara Kuu ya lami. Nyumba 3 za familia zipo ndani ya eneo moja kila moja inajitegemea.
UKUBWA: Kila moja ina vyumba 3 vya kulala, jiko, siting room kubwa na daining ya kutosha.
UMEME: Kila moja inatumia Mita ya Luku kwa kujitegemea. pamoja na maji. PAKING: Eneo kubwa kwa zaidi ya magari 5 kwa wakati mmoja.
BEI. Ni maelewano kuanzia miezi 6 au zaidi kutegemea hitaji la mteja. kwa mawasiliano:...
9 years ago
Michuzi02 Jan
TIMUATIMUA YATUA MNADA WA PUGU, MWIGULU ASHIRIKIANA NA MAWAZIRI WAWILI KUTATUA KERO MACHINJIO YA PUGU
Picha na Maelezo na Festo Sanga Ile kauli ya HAPA KAZI TU imeendelea kutumika vizuri kwa mawaziri wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli kufuatia tukio la mawaziri watatu kufika eneo la Machinjio ya Vingunguti kwa ajili ya kutatua kero zinazowakabili wananchi wanaotumia eneo hilo kwa shughuli za kuchinja mifugo. Awali,Mhe Mwigulu Nchemba alifanya ziara ya kushitukiza usiku wa tar 01/01/2016 katika machinjio hayo na kukutana na madudu ya kutafunwa kwa fedha za ushuru unaokusanywa kwenye mifugo,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania