KIWANJA KIZURI NA KIKUBWA KINAUZWA GOBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-2GoPyK8FzyE/VeAk0gBnI3I/AAAAAAAH0mw/Of0KaRa38O0/s72-c/unnamed.jpg)
Kimepimwa Kipo mita 800 kutoka barabara kuu ya lami ya Goba. Majirani pia wamepima Kimezungukwa na nyumba zenye hadhi nzuri Ukubwa ni square meter 1939. Ni kilometres saba toka mlimani city na saba toka mbezi beach tangibovu Bei ni Million 90. Hamna dalali
Kuwasiliana na mmiliki wa kiwanja piga kwenye 0766 888 333
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi01 Apr
KIWANJA KINAUZWA
Kiwanja kipo karibu na barabara kuu ya lami na kituo cha basi Kiwanja hiki ni kizuri kwa ujenzi wa nyumba ya kuishi.
Anayeuza ni mmiliki halali wa kiwanja hicho na bei ni shilingi Milioni 100.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu: 0717 935322.Au kwa barua pepe: fmaua@aol.com
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pCC3UkZfemYHpExIt*rC0HKormUV*PKV7xG1-ouHYcF-1zo5nqs7WCP2RlQgFrTgDs*hi9HEASIT6nNywSnx0*XQmC5HnCer/Kiwanjakinauzwa.jpg?width=650)
KIWANJA KINAUZWA BAGAMOYO
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-5M-wCVz_vVg/VVSyscPeuWI/AAAAAAAHXUA/pDaHakT_mJk/s72-c/mbili.jpg)
kiwanja kinauzwa pugu, dar es salaam
![](http://2.bp.blogspot.com/-5M-wCVz_vVg/VVSyscPeuWI/AAAAAAAHXUA/pDaHakT_mJk/s640/mbili.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-5T1SGIda5rw/VVSysGXrcLI/AAAAAAAHXT8/zWchkVbhTzU/s640/unnamed%2B(46).jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-MAJr81Isv-0/Vfc9XvdsoKI/AAAAAAAH40U/V6sZ38RWOg0/s72-c/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
kiwanja kinauzwa tegeta wazo Dar es salaam
![](http://1.bp.blogspot.com/-MAJr81Isv-0/Vfc9XvdsoKI/AAAAAAAH40U/V6sZ38RWOg0/s640/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-gak1W6updsE/Vfc9XQiWalI/AAAAAAAH40Q/ChDuL5qHK3k/s640/unnamed%2B%252811%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-MDihgIhBiv4/VYKnLLtfRxI/AAAAAAAHg3c/kKkscM7Pj8k/s72-c/unnamed%2B%252839%2529.jpg)
Kiwanja kinauzwa Bunju-Mabwepande, Dar es Salaam
![](http://1.bp.blogspot.com/-MDihgIhBiv4/VYKnLLtfRxI/AAAAAAAHg3c/kKkscM7Pj8k/s640/unnamed%2B%252839%2529.jpg)
11 years ago
Mwananchi13 Apr
kilichowasilisha wazo la mbunifu ndicho kizuri
5 years ago
Michuzi09 May
Meridianbet sasa inakuletea kitu kingine kizuri, kufurahia ubashiri
Bashiri matokeo ya mechi zako pendwa za PES zinazochezwa na wachezaji wa soka na timu halisi! Hizi tayari ni timu kubwa na majina makubwa ambayo tayari ulikuwa ukibashiri kabla.
Meridianbet.co.tz inakupa ofa...
9 years ago
Bongo504 Dec
Cassim adai kuzipa exclusive TV za nje kabla ya nyumbani si kitu kizuri
![Mwenyekiti wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) Dr. Fatma Mrisho](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Mwenyekiti-wa-Tume-ya-Kudhibiti-Ukimwi-TACAIDS-Dr.-Fatma-Mrisho-300x194.jpg)
Hitmaker wa Subira, Cassim Mganga amesema haoni kama ni ufahari kupeleka video yake ikaoneshwe kama exclusive kwenye vituo vya runinga vya nje na kuwaacha watanzania wengi wakisubiria.
Akizungumza na Bongo5, Cassim amesema haoni uzito wa suala hilo kama ambavyo wengine wanavyolichukulia.
“Mimi na video yangu ya Subira nilisema nisianzie huko, kwanini mtu upate exclusive huko ndio uonekane kwamba wewe unakwenda kimataifa?” amehoji.
“Hata hapa nyumbani ni kimataifa vile vile wanaweza...
11 years ago
Habarileo21 Apr
Wanafunzi wa Goba wafa wakiogelea
WANAFUNZI wawili wa Shule ya Msingi Goba, wamekufa baada ya kuzama wakati wakiogelea katika dimbwi la maji ya mvua. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema wanafunzi hao ni Frank Charles (11) na Videson Peter (11).