Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kobe 300 wazagaa Tabata

WANYAMA aina ya kobe zaidi ya 330, wamekutwa wamezagaa eneo la Tabata- Mawenzi, Dar es Salaam  bila kufahamika mtu aliyewafikisha eneo hilo. Watu waliowashuhudia wanyama hao, walisema kobe hao walianza...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAANDALIZI YA MISS TABATA NDANI YA DA' WEST TABATA USIKU HUU

Mabango ya Global Publishers ambao ni mojawapo ya wadhamini wa Miss Tabata 2014 yakiwa ndani ya Da' West, Tabata. Baadhi ya wananchi walioanza kuingia ukumbini kwa ajili ya kumshuhudia Miss Tabata 2014 usiku huu.…

 

11 years ago

Habarileo

Uchafu wazagaa tena Dar es Salaam

Takataka zikiwa zimerundikana katika moja ya mitaa jijini Dar es Salaam.TAKATAKA zimezidi kuzagaa katika jiji la Dar es Salaam na kuna maeneo ambako hazijazolewa kwa zaidi ya wiki mbili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kobe huenda wakaangamia Madagascar

Aina moja ya Kobe wanaowindwa na wawindaji haramu nchini Madagascar wako katika hatari kubwa ya kuangamia

 

9 years ago

Mwananchi

Kortini wakidaiwa kusafirisha kobe

Wakazi watano wa Zanzibar wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka ya kusafirisha kobe 201 aina ya India wenye thamani ya Sh30 milioni.

 

9 years ago

Bongo5

Kobe Bryant atangaza kustaafu kikapu

Toronto Raptors v Los Angeles Lakers

Mchezaji nyota wa kikapu nchini Marekani, Kobe Bryant ametangaza kuwa atastaafu baada ya kumalizika kwa msimu unaoendelea.

Toronto Raptors v Los Angeles Lakers

Akiwa na Lakers, Kobe ameisaidia kuchukua ubingwa mara tano.

Ametangaza taarifa hiyo kupitia barua aliyopa kichwa cha habari ‘Dear Basketball.’

“This season is all I have left to give. My heart can take the pounding. My mind can handle the grind but my body knows it’s time to say goodbye. And that’s OK. I’m ready to let you go,” imesomeka sehemu ya barua hiyo.

Katika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kobe Bryant amzidi Jordan NBA

Mchezaji wa timu ya Los Angeles Lakers kobe Bryant ameshika nafasi ya tatu katika ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani(NBA)

 

11 years ago

BBCSwahili

Kobe mwenda mbio akamatwa Marekani

Polisi wamefanikiwa kumshika tena Kobe mkubwa aliyetoroka baada ya kinachoelezewa kama harakati ndogo za kumkimbiza

 

10 years ago

BBCSwahili

Kobe Bryant aanza vibaya NBA

Mchezaji nguli wa mchezo wa kikapu Nchini Marekani Kobe Bryant amerejea vibaya katika kikosi chake cha LA Lakers.

 

5 years ago

BBCSwahili

Maisha ya Kobe Bryant katika picha

Simulizi ya maisha ya aliyekuwa mchezaji nguli wa kikapu nchini Marekani katika picha, Kobe Bryant ambaye alifariki akiwa na miaka 41.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani