Kobe huenda wakaangamia Madagascar
Aina moja ya Kobe wanaowindwa na wawindaji haramu nchini Madagascar wako katika hatari kubwa ya kuangamia
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi02 Dec
Kortini wakidaiwa kusafirisha kobe
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
Kobe 300 wazagaa Tabata
WANYAMA aina ya kobe zaidi ya 330, wamekutwa wamezagaa eneo la Tabata- Mawenzi, Dar es Salaam bila kufahamika mtu aliyewafikisha eneo hilo. Watu waliowashuhudia wanyama hao, walisema kobe hao walianza...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Maisha ya Kobe Bryant katika picha
10 years ago
BBCSwahili30 Dec
Kobe Bryant aanza vibaya NBA
10 years ago
BBCSwahili15 Dec
Kobe Bryant amzidi Jordan NBA
11 years ago
Habarileo28 Jun
Kobe waleta taharuki Dar es Salaam
HALI ya taharuki ilizuka jana katika eneo la Tabata Mawenzi jijini Dar es Salaam baada ya kobe wadogo zaidi ya 300 kuonekana katika maeneo hayo huku wakiwa hawajulikani walipotokea.
11 years ago
BBCSwahili04 Aug
Kobe mwenda mbio akamatwa Marekani
9 years ago
Bongo530 Nov
Kobe Bryant atangaza kustaafu kikapu
![Toronto Raptors v Los Angeles Lakers](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/kobe-bryant-has-a-great-philosophy-on-failure-300x194.jpg)
Mchezaji nyota wa kikapu nchini Marekani, Kobe Bryant ametangaza kuwa atastaafu baada ya kumalizika kwa msimu unaoendelea.
Akiwa na Lakers, Kobe ameisaidia kuchukua ubingwa mara tano.
Ametangaza taarifa hiyo kupitia barua aliyopa kichwa cha habari ‘Dear Basketball.’
“This season is all I have left to give. My heart can take the pounding. My mind can handle the grind but my body knows it’s time to say goodbye. And that’s OK. I’m ready to let you go,” imesomeka sehemu ya barua hiyo.
Katika...
10 years ago
Habarileo28 Feb
Kobe 250 wakamatwa Uwanja wa Ndege Z’bar
KOBE wadogo 250, wamekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, wakiwa njiani kusafirishwa kwa njia ya magendo kwenda Malaysia.