Uchafu wazagaa tena Dar es Salaam
TAKATAKA zimezidi kuzagaa katika jiji la Dar es Salaam na kuna maeneo ambako hazijazolewa kwa zaidi ya wiki mbili.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Dar si shwari tena, uchafu, mvua vyote vyatuua
10 years ago
Bongo Movies03 Mar
Bongo Dar-Es-Salaam ya Dude Kurudi Tena Hivi Karibuni!!
Kipindi cha mchezo wa maigizo cha Bongo Dar es Salaam kilichojizolea mashabiki na watazamaji wengi kinalejea tena hivi karibuni baada ya kusimama kwa zaidi ya miaka mitatu.
Mwigizaji Kulwa Kikumba “Dude” ambae ni muigizaji mkuu na mmiliki wa kipindi hicho amewadokeza mashabiki wake mtandaono na kuwa kipindi kitakuwa hewani hivi karibuni na kuweka baadhi ya picha akiwa lokesheni wakifanya kazi huku akimtaja muigizaji Haji Adam kuwa ni moja ya staa atakaefanya nae kazi.
Bila shaka wengi...
10 years ago
MichuziBENKI YA EXIM TANZANIA YAANDAA TENA FUTARI KWA AJILI YA WATEJA WAKE JIJINI DAR ES SALAAM.
Mkuu wa Hazina Benki ya Exim Bank Tanzania, Bw. George Shumbusho akitoa neon la shukrani kwa wateja na wageni waalikwa wa benki hiyo waliohuzuria hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan jijini Dar es Salaam juzi. Mkuu wa Huduma za rejareja kutoka benki ya...
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
Kobe 300 wazagaa Tabata
WANYAMA aina ya kobe zaidi ya 330, wamekutwa wamezagaa eneo la Tabata- Mawenzi, Dar es Salaam bila kufahamika mtu aliyewafikisha eneo hilo. Watu waliowashuhudia wanyama hao, walisema kobe hao walianza...
11 years ago
GPL10 years ago
Habarileo04 Feb
Kila wilaya Dar kuwa na sehemu ya uchafu
SERIKALI imetenga Sh bilioni 500 kwa ajili ya mradi wa kuondoa tatizo la uchafu na kulinda mazingira katika Mkoa wa Dar es Salaam.
10 years ago
MichuziJE, UNALIJUA HILI LA UCHAFU HAPA JIJINI DAR???
‘Usilolijua ni sawa na usiku wa giza’ msemo huu una maana kwani kitu usichokijua huwezi ukajadili kutokana na kutokielewa.
Katika pitapita mitaani hasa katika maeneo ya masoko katika jiji la Dar es Salaam kuna mtu aliyejitambulisha kwa jina la Julius Methew alienileza kuwa hakuna sehemu yeyote katika nchi za Afrika ambayo takataka zake zinatoka mashambani na kupelekwa mijini isipokuwa Tanzania ambayo ameitaja kuwa ni nchi ya kwanza kwa Afrika inayopokea...
10 years ago
GPLKIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA