Dar si shwari tena, uchafu, mvua vyote vyatuua
Hamkani si shwari tena. Haya ni maneno machache ninayoweza kuelezea hili tatizo linaloendelea kwa sasa. Kwa sababu ile Dar es Salaam iliyokuwa ikisifika kwa kwa uzuri wake, kwa sasa inatajwa kuwa si mahala salama pa kuishi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo26 Jul
Uchafu wazagaa tena Dar es Salaam
TAKATAKA zimezidi kuzagaa katika jiji la Dar es Salaam na kuna maeneo ambako hazijazolewa kwa zaidi ya wiki mbili.
10 years ago
BBCSwahili15 Oct
Hong Kong si shwari tena
10 years ago
Habarileo27 Dec
Dar shwari Krismasi
HALI ya usalama katika jiji la Dar es Salaam imeelezwa kuwa shwari katika sikukuu ya Krismasi huku ulinzi ukiimarishwa zaidi kuelekea mwisho wa mwaka.
9 years ago
MichuziDK MAGUFULI AITEKA DAR, AFURAHISHWA KULAKIWA NA WAFUASI WA VYAMA VYOTE
Kwa picha...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-BdyZxE9hcZs/VOy4X8OmCjI/AAAAAAAHFoU/w9Kxkk_vbfU/s72-c/1.jpg)
JE, UNALIJUA HILI LA UCHAFU HAPA JIJINI DAR???
![](http://4.bp.blogspot.com/-BdyZxE9hcZs/VOy4X8OmCjI/AAAAAAAHFoU/w9Kxkk_vbfU/s1600/1.jpg)
‘Usilolijua ni sawa na usiku wa giza’ msemo huu una maana kwani kitu usichokijua huwezi ukajadili kutokana na kutokielewa.
Katika pitapita mitaani hasa katika maeneo ya masoko katika jiji la Dar es Salaam kuna mtu aliyejitambulisha kwa jina la Julius Methew alienileza kuwa hakuna sehemu yeyote katika nchi za Afrika ambayo takataka zake zinatoka mashambani na kupelekwa mijini isipokuwa Tanzania ambayo ameitaja kuwa ni nchi ya kwanza kwa Afrika inayopokea...
10 years ago
Habarileo04 Feb
Kila wilaya Dar kuwa na sehemu ya uchafu
SERIKALI imetenga Sh bilioni 500 kwa ajili ya mradi wa kuondoa tatizo la uchafu na kulinda mazingira katika Mkoa wa Dar es Salaam.
11 years ago
GPL11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-8zd8Ellyedo/U2oJvMaZefI/AAAAAAAFgGM/v3h1GqO2DL8/s72-c/IMG_7129.jpg)
HIKI NDIO KIPITA SHOTO BABKUBWA KUPITA VYOTE JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-8zd8Ellyedo/U2oJvMaZefI/AAAAAAAFgGM/v3h1GqO2DL8/s1600/IMG_7129.jpg)