Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kila wilaya Dar kuwa na sehemu ya uchafu

SERIKALI imetenga Sh bilioni 500 kwa ajili ya mradi wa kuondoa tatizo la uchafu na kulinda mazingira katika Mkoa wa Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

JK amemteua Bwana Anthony Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa-Dodoma, ,afanya uhamisho wa wakuu 10 wa wilaya

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Anthony Peter Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Mkoa wa Dodoma, kuanzia leo, Jumatatu, Mei 25, 2015. Aidha, Rais Kikwete amefanya uhamisho wa wakuu 10 wa Wilaya kwa nia ya kuongeza ufanisi katika uongozi wa Wilaya mbali mbali nchini. Katika mabadiliko hayo, Rais Kikwete amemhamisha Luteni Edward Ole Lenga kutoka Wilaya ya Mkalama, Mkoa wa Singida kwenda kuwa mkuu wa wilaya mpya ya Kyerwa, Mkoa...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA KUTUMIA SEHEMU YA MSHAHARA WAKE KUWALIPA WANASHERIA

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati akitoa taarifa ya utatuzi wa migogoro ya ardhi katika wilaya hiyo.
 Wanahabari wakiwa katika mkutano na Bwana Makonda.Waandishi wa habari kutoka vyombombalimbali wakichukua taarifa hiyo.
Dotto Mwaibale
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema atachukua sehemu ya mshahara wake kwa ajili ya...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

CUF yajisahau kuwa sehemu ya serikali

Mara baada ya matokeo ya uchaguzi2010 kwa pamoja tulishereheka, kwa mara ya mwanzo CUF itaingia katika serikali ya Umoja wa Kitaifa. Wako waliotarajia makubwa kwa kuwemo kwenye serikali, halkadhalika wako walioona kwamba nikupoteza. Nakumbuka iliwahi CUF […]

The post CUF yajisahau kuwa sehemu ya serikali appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Tanzania Daima

FoB wameamua kuwa sehemu ya tatizo

BABA yangu ni mmoja wa wajumbe ambao wanajiita FoB. Huu ni mtandao mpya unaoibuka, wa watu wenye ushawishi na maslahi katika Mkoa wa Kagera, ambao wanatumia mfumo wa kompyuta kuwasiliana...

 

11 years ago

Habarileo

Uchafu wazagaa tena Dar es Salaam

Takataka zikiwa zimerundikana katika moja ya mitaa jijini Dar es Salaam.TAKATAKA zimezidi kuzagaa katika jiji la Dar es Salaam na kuna maeneo ambako hazijazolewa kwa zaidi ya wiki mbili.

 

11 years ago

GPL

UCHAFU WAONGEZEKA SOKO LA SAMAKI KIVUKONI DAR

Wazoa taka wakiwa kazini katika soko hilo.…

 

10 years ago

Michuzi

JE, UNALIJUA HILI LA UCHAFU HAPA JIJINI DAR???

Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii 
‘Usilolijua ni sawa na usiku wa giza’ msemo huu una maana kwani kitu usichokijua huwezi ukajadili kutokana na kutokielewa.
Katika pitapita mitaani hasa katika maeneo ya masoko katika jiji la Dar es Salaam kuna mtu aliyejitambulisha kwa jina la Julius Methew alienileza kuwa hakuna sehemu yeyote katika nchi za Afrika ambayo takataka zake zinatoka mashambani na kupelekwa mijini isipokuwa Tanzania ambayo ameitaja kuwa ni nchi ya kwanza kwa Afrika inayopokea...

 

9 years ago

StarTV

Samia ahidi kujenga hosptali kila wilaya

Chama cha MapinduziCCM kimesema iwapo wananchii watakichagua kuongoza katika kipindi cha awamu ya tano kitahakikisha Huduma za afya inimarishwa kikamilifu kwa kujenga hospital Kila wilaya,zahanati kila Kijiji pamoja na Kituo cha Afya kwa kila Kata.

Hayo yamesemwa na mgombea mwenza wa chama hicho Samia Suluhu Hassan wakati akimaliza ziara ya kampeni katika mkoa wa tanga ambapo amehitimisha na kuomba wananchii kukichagua chama hicho katika uchaguzi ujao.

Samia Suluhu amekuwa akisimamishwa...

 

10 years ago

Habarileo

Mwanza yasambaza mbegu za pamba kila wilaya

Pamba ikiwa shambaniUMLA ya tani 1,295.65 za mbegu za pamba zimesambazwa kwa wakulima wa pamba kwa wilaya zote za mkoa wa Mwanza ikiwa ni sawa na asilimia 65.27 ya mgawo kutoka Bodi ya Pamba (TCB).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani