Kocha Ndanda FC afukuzwa
TIMU ya Ndanda FC ya Mtwara imekatisha mkataba na kocha wake Jumanne Charles baada ya kushindwa kufikia vigezo vya Shirikisho la Soka Afrika (Caf).
Charles ambaye aliajiriwa klabu hiyo baada ya msimu uliopita wa ligi kuu kumalizika, alichukua mikoba ya Meja Abdul Mingange ambaye alimaliza mkataba wake.
Ofisa Habari wa Ndanda FC Idrissa Bandari alisema kuwa klabu yao imeamua kuachana na Charles baada ya kupata walaka kutoka Shirikisho la Soka Tanzania ambao ulizitaka klabu kuwa na...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
Kocha wa Taifa Stars afukuzwa
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Kocha Azam aipania Ndanda
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA wa timu ya Azam, Stewart Hall, amesema atahakikisha kikosi chake kinapata ushindi dhidi ya Ndanda ya Mtwara kesho baada ya kuambulia pointi moja dhidi ya Yanga Jumamosi iliyopita.
Hall aliyepania kushinda mechi kumi za kwanza za Ligi Kuu, amesema mechi dhidi ya Yanga imevuruga hesabu zake, lakini ameyafanyia kazi makosa yaliyowagharimu ili kuendeleza wimbi la ushindi.
Azam ambayo msimu uliopita ilifungwa bao 1-0 na timu hiyo kwenye Uwanja wa Nangwanda...
9 years ago
Bongo505 Sep
Arturo Vidal afukuzwa na kocha wa timu ya taifa ya Chile kwa ulevi
10 years ago
Vijimambo09 Mar
KOCHA WA YANGA AGOMA KUMPA MKONO KOCHA MWENZIE
![](http://taarifa.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/kocha-640x360.jpg)
![](http://taarifa.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/kochaa-640x360.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-LXQV7xrGDUY/XlkmyrboPkI/AAAAAAALf6M/xB4uQ_8dtdAoicveNoK1EQ85-Q0BiKHLACLcBGAsYHQ/s72-c/Benard.jpg)
MEMBE AFUKUZWA CCM
![](https://1.bp.blogspot.com/-LXQV7xrGDUY/XlkmyrboPkI/AAAAAAALf6M/xB4uQ_8dtdAoicveNoK1EQ85-Q0BiKHLACLcBGAsYHQ/s640/Benard.jpg)
WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Nje, Bernard Membe amevuliwa uanachama pamoja na madaraka na kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) hapa nchini
Hayo ameyasema, Katibu mwenezi wa chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole leo Februari 28, 2020 wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi ndogo za Chama cha Mapinduzi (CCM),Lumumba jijini Dar es Salaam, wakati Membe akivuliwa uanachama, katibu mkuu wa zamani wa chama cha CCM, Abdulrahman Kinana amepewa onyo na kutokugombea nafasi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rWr07F5d70vKeTcZWL2-XUEDUo0KEnBgMN8I7wA3Pgl8DiT7C-tdVozeuh0JAcqYdMnkesAMOoJAcxSUBkep6GF4rwRSXbcD/mume.gif?width=650)
MUME AFUKUZWA UKWENI!
11 years ago
Habarileo25 Feb
Mjumbe Bunge la Katiba afukuzwa
MJUMBE wa Bunge la Katiba, Rashid Yussuf Mshenga amefukuzwa uanachama wa Chama cha Wakulima (AFP). Kitendo hicho kimefanywa na Mwenyekiti wa chama hicho, Said Soud. Hata hivyo, Mshenga amepinga kitendo hicho na kudai ni matokeo ya wivu wa maendeleo.
9 years ago
BBCSwahili05 Oct
Brendan Rodgers afukuzwa Liverpool
10 years ago
Habarileo02 Jun
Diwani NCCR afukuzwa uanachama
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimemfukuza uanachama Diwani wake wa Kata ya Kasulu Mjini, Isack Rashid kikimtuhumu kutoa siri za chama na kuzusha migogoro kati yake na viongozi wenzake.