Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KOCHA WA SIMBA APEWA MASAA 24 KUONDOKA AU KUBAKI


klabu ya Simba imempa masaa 24 kocha wao ,goran kama anataka kubaki au kuondoka kwa mujibu wa mwenyekiti wa ,amati ya usajili Hans pop kutokana timu yao kufanya vibaya mapato kiduchu pia klabu hiyo imeweafutia wachezaji 3 raia wa uganda pia.credit:Mzuka wa fungo

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Africanjam.Com

MSIMAMO WA DI MARIA, KUBAKI AU KUONDOKA MANCHESTER UNITED..

Baada ya tetesi za muda mrefu zikimhusisha na kuihama klabu ya Manchester Unitedbaada ya msimu mmoja ambao umeonekana si wa mafanikio sana, kiungo raia wa Argentina Angel Di Maria amethibitisha kuwa ataendelea kuwa sehemu ya kikosi chaManchester United msimu ujao.
Di Maria amekuwa kwenye wakati mgumu katika msimu wake wa kwanza baada ya kuonekana amecheza chini ya kiwango katika msimu ambao United imemaliza kwenye nafasi ya nne na kufanikiwa kufuzu michuano ya ligi ya mabingwa ambayo...

 

10 years ago

Africanjam.Com

MAAMUZI YA RAHEEM STERLING KUHUSU KUBAKI AU KUONDOKA LIVERPOOL


Klabu ya Liverpool imepanga kuwa na mazungumzo mazito na winga wake, Raheem Sterling wiki hii baada ya mchezaji huyo kumtamkia kocha Brendan Rodgers kuwa anataka kuondoka.Sterling alifanya maungumzo binafsi na kocha wake Rodgers kabla ya mechi iliyoisha kwa sare ya 1-1 dhidi ya Chelsea na akaweka wazi hataki kuendelea kuichezea timu hiyo msimu ujao.
Lakini akakubali kukutana na klabu kwa mazungumzo ya mwisho kabla ya kufanya uamuzi rasmi wa kubaki, au kuondoka ndani ya klabu hiyo.Sterling...

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha wa Mgambo atishia kuondoka

Kocha wa Mgambo Shooting, Bakari Shime amesema kwamba atajiengua kuinoa timu hiyo baada ya kumalizika kwa Ligi Kuu msimu huu.

 

11 years ago

GPL

KOCHA MPYA YANGA APEWA MASHARTI

Kocha mkuu wa Yanga  SC, Hans van Der Pluijm. Na Amisa Mmbaga UONGOZI wa Klabu ya Yanga umempa masharti kocha mpya wa timu yao, Hans Van Der Pluijm kuhusu kudhibiti nidhamu ya wachezaji pindi wanapokuwa kambini na uwanjani ili kuweza kukifikisha mbali kikosi hicho. Yanga waliondoka nchini hivi karibuni kuelekea Uturuki kwa ajili ya maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika. Makamu Mwenyekiti...

 

5 years ago

Bongo5

Simba yaendelea kubaki na pointi ilizopewa na kamati ya saa 72

Kamati ya katiba, Sheria na hadhi za wachezaji ya shirikisho la soka Tanzania (TFF) limemaliza kikao chake na klabu ya Simba usiku wa kuamkia leo na kuazimia Simba inaendelea kubaki na pointi ilizopewa na Kagera Sugar.


Katibu Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuahirisha kikao.

Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Celestine, amesema kamati hiyo itakaa tena na pamoja na mashahidi wengine kuhojiwa. “Kuna watu wanatakiwa kuhojiwa, na kamati itakaa wiki...

 

9 years ago

MillardAyo

Wachezaji watano ambao kama Jose Mourinho atakuwa kocha wa Man United watapenda kuondoka …

Headlines za Jose Mourinho kuhusishwa kukaribia kujiunga na klabu ya Manchester United bado zinazidi kushika kasi sehemu mbalimblia, kwa wapenzi na mashabiki wa soka duniani kote kwa sasa vijiwe vyao mara nyingi mada kuu ni Louis van Gaal na Jose Mourinho. December 25 Mtu wangu wa nguvu nimekutana na list kutoka sokka.com ya wachezaji watano wa […]

The post Wachezaji watano ambao kama Jose Mourinho atakuwa kocha wa Man United watapenda kuondoka … appeared first on...

 

11 years ago

GPL

Tambwe atangaza kuondoka Simba

Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe. Na Sweetbert Lukonge
STRAIKA wa kimataifa wa Simba, Amissi Tambwe huenda akavunja mkataba wake na klabu hiyo na kuondoka zake mara baada ya kumalizika kwa msimu huu, ikiwa timu hiyo haitapata nafasi ya kuwakilisha taifa kwenye mashindano ya kimataifa.…

 

10 years ago

Mwananchi

Mosoti azuiwa kuondoka Simba

Sakata la beki Donald Mosoti limechukua sura mpya baada ya kocha mkuu wa Simba, Patrick Phiri kuingilia kati, akimzuia kuondoka hadi wakati wa usajili wa dirisha dogo.

 

10 years ago

Mwananchi

Sserunkuma: Sitaki kuondoka Simba hadi 2016

Mshambuliaji Dan Sserunkuma amesema yeye bado  ni mchezaji wa Simba na wala hafikirii kuondoka Msimbazi kwa sasa na hayo yote yanayosemwa dhidi yake ni uzushi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani