Simba yaendelea kubaki na pointi ilizopewa na kamati ya saa 72
Kamati ya katiba, Sheria na hadhi za wachezaji ya shirikisho la soka Tanzania (TFF) limemaliza kikao chake na klabu ya Simba usiku wa kuamkia leo na kuazimia Simba inaendelea kubaki na pointi ilizopewa na Kagera Sugar.
Katibu Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuahirisha kikao.
Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Celestine, amesema kamati hiyo itakaa tena na pamoja na mashahidi wengine kuhojiwa. “Kuna watu wanatakiwa kuhojiwa, na kamati itakaa wiki...
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VMB94olbxS2HpLClOpFelCZOQF5XkIrxZicilkx3BnbeEGYF42s17NBY86tK*02yhquBmhY8-Ab-CEsRYJ-w*zl95MRsSWbI/simba.jpg?width=650)
Simba yapokwa pointi 10
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Nkwabi: Pointi tatu muhimu Simba
MGOMBEA nafasi ya Makamu wa Rais wa klabu ya Simba, Swedi Nkwabi, amezindua rasmi kampeni zake huku kubwa ikiwa ni pointi tatu ndiyo sababu ya kuwania nafasi hiyo. Swedi, mgombea...
10 years ago
Mwananchi07 Feb
Pointi tatu kuitoa roho Simba SC
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-ysmfnsPTZT4/VVJLAYcAwvI/AAAAAAAAWvc/torj41uSkDY/s72-c/kocha.jpg)
KOCHA WA SIMBA APEWA MASAA 24 KUONDOKA AU KUBAKI
![](http://3.bp.blogspot.com/-ysmfnsPTZT4/VVJLAYcAwvI/AAAAAAAAWvc/torj41uSkDY/s640/kocha.jpg)
klabu ya Simba imempa masaa 24 kocha wao ,goran kama anataka kubaki au kuondoka kwa mujibu wa mwenyekiti wa ,amati ya usajili Hans pop kutokana timu yao kufanya vibaya mapato kiduchu pia klabu hiyo imeweafutia wachezaji 3 raia wa uganda pia.credit:Mzuka wa fungo
10 years ago
Mwananchi06 Oct
‘Mfumo uliwanyima Simba kupata pointi tatu’
9 years ago
Mtanzania11 Sep
Simba yatamba kubeba pointi sita Tanga
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba, tayari wametua mkoani Tanga kamili kuchukua pointi sita ambapo wamepania kuanza kuzisaka kwa African Sports ‘Wana Kimanumanu’, wanaokutana nao kesho, Uwanja wa Mkwakwani.
Simba itacheza michezo miwili ikiwa mkoani humo, ambapo baada ya kumalizana na Wana kimanumanu hao itakaa kuwasubiria Mgambo JKT, ambayo watakutana nayo Septemba 16, kwenye uwanja huo.
Timu hiyo imeondoka jana, huku ikimkosa mchezaji Abdi Banda, ambaye atakuwa nje...
9 years ago
Habarileo10 Sep
Simba yaenda Tanga kufuata pointi sita
KIKOSI cha Simba kinatarajia kuondoka leo kwenda Tanga kwa ajili ya mechi ya ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayotarajiwa kuanza Jumamosi dhidi ya African Sports ya huko.
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Saa 48 Kamati ya PAC zatimia leo