Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KOCHA YANGA ASISITIZA LAZIMA WAUPIME UWANJA WA ALEXANDRIA

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Saleh Ally, Cairo Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm amesema pamoja na kusafiri leo Jumamosi, lakini lazima waupime uwanja watakaochezea mechi leo. Pluijm raia wa Uholanzi amesema ni jambo la msingi kwao kufanya mazoezi kwenye uwanja huo, hivyo lazima. Yanga imeanza safari leo hii asubuhi kwenda Alexandria, mwendo wa saa mbili kutoka hapa Cairo.  “Baada ya kufika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

KATIBA: Silaa asisitiza serikali mbili lazima

>Siku moja baada ya kuelezwa kuwa msimamo wa kung’ang’ania serikali mbili ni maagizo ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Jerry Silaa amesisitiza kuwa serikali mbili ni lazima.

 

5 years ago

Michuzi

DC KINONDONI ASISITIZA KUWACHAPA VIBOKO WATAKAOSABABISHA MIKUSANYIKO ISIYO YA LAZIMA BAA

Na Said Mwishehe, Michuzi TV

MKUU  wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Daniel Chongolo amesema wataendelea kuchukua hatua ya kuchapa viboko watu ambao watakuwa wanafanya mikusanyiko ambao haitakuwa wa lazima hasa kwenye Baa huku akisisitiza watu watachapwa kweli kweli.

Chongolo amesema hayo jijini Dar es Salaam wakati anazungumza na Michuzi TV pamoja na Michuzi Blog wakati anafafanua msimamo wa kuchukua hatua ya kuwacharaza viboko watu ambao watakuwa wanaweka mkusanyiko usio wa lazima...

 

10 years ago

Vijimambo

KOCHA WA YANGA AGOMA KUMPA MKONO KOCHA MWENZIE

Kocha simba akimpa mkono kocha wa YangaHans ameshindwa kupeana mkono wa pongezi na kocha mwenzake kutokana na kikosi chake kukubali kupokea kichapo kutoka kwa wekundu wa msimbazi lakini katika hali ya kawaida mchezo ukimalizika makocha upeana mkono kama ishara ya kukubali matokeo (fair play) na kocha msaidizi wa yanga Boniface Mkwasa ametoa mkono huku akiwa ameangalia pembeni.Goran akimwambia basi samahani kwa kukufunga wewe nipe mkono tuBaada ya mchezo kocha aliwashukuru wachezaji wake kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Chama cha Riadha lazima kiajiri kocha

Riadha ni mchezo ambao umewahi kuiletea nchi medali nyingi kwenye michezo mbalimbali ya kimataifa, ikiwamo Michezo ya Jumuiya ya Madola, Olimpiki na ya Afrika. Mchezo mwingine uliowahi kuleta medali ni ngumi.

 

10 years ago

Michuzi

MECHI YA YANGA NA BDF XI FC YA BOTSWANA INAPIGWA HIVI SASA UWANJA WA TAIFA,YANGA INAONGOZA KWA BAO 2-0

 Mchezaji wa timu ya Yanga,Mrisho Khalfan Ngassa akiwania mpira na Mchezaji wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika unaopigwa hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam.Yanga inaongoza kwa bao 2 - 0 zilizotiwa kimiani na Mshambuliaji Hamis Tambwe. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI Golikipa wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana akiondosha hatari iliyokuwa ikielekezwa langoni mwake wakati wa Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika...

 

11 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA MBEYA CITY UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 1-0

 Mshambuliaji machachari wa timu ya Yanga,Mrisho Ngassa (17) akichuana vikali kuwania mpira na Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius wakati wa mtanange wao wa Ligi kuu Tanzania Bara unaoendelea kufanika hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika hivi punde na Yanga wanaongoza kwa Bao 1-0 lililotiwa kimiani na Mrisho Ngassa,dakika ya 15 ya mchezo kipindi cha kwanza.  Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius akijiandaa...

 

11 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA KOMOROZINE YA NCHINI COMORO UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 2-0

 Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akiwatoka mabeki wa timu ya Komorozine ya nchini Comoro wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Yanga inaongoza kwa Bao 2-0.  Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akichuana vikali na Beki wa Timu ya Komorozine ya nchini Comoro,Ahmad Houmadi (5) wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani