KOICA wakipiga jeki chuo cha walemavu Sabasaba Singida
Kaimu mwakilishi wa shirika la KOICA Tanzania, Jieun Park, akizungumza kwenye sherehe za uzinduzi rasmi wa mradi wa uboreshaji wa miundombinu ya chuo cha ufundi kwa watu wenye ulemavu cha Sabasaba mjini Singida.Kushoto ni mkuu wa wilaya ya Singida, Saidi Alli Amanzi na kushoto ni mwenyekiti wa walemavu wa ngozi mkoa wa Singida.
Mkuu wa chuo cha ufundi kwa watu wenye ulemavu cha Sabasaba manispaa ya Singida, Fatuma Malenga,akitoa taarifa yake kwenye sherehe ya uzinduzi wa mradi wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziDIWANI AOMBA CHUO KIPYA CHA UFUNDI KWA WALEMAVU MKOANI SINGIDA
Diwani wa Kata ya Utemini, Baltazar Kimario.
Na Ismail Luhamb,Singida.
DIWANI wa Kata ya Utemini Manispaa ya Singida, Baltazar Kimario, ameiomba Serikali kuangalia uwezekano wa kujenga chuo kipya cha ufundi stadi cha kwa ajili ya watu wenyeulemavu mkoani hapa.
Akizungumza na waandishi wa habari katika kikao cha baraza la madiwani kilicho keti mwishoni mwa wiki, Kimario, alisema chuo kinachoendelea kutumika kilijengwa miaka ya 70 hivyo miundombinu yake imechakaa inahitaji ukarabati wa...
11 years ago
MichuziAirtel Divas yatembelea kikundi cha Sauti ya walemavu kwenye Maonyesho ya Biashara ya Sabasaba
11 years ago
GPLAIRTEL DIVAS YATEMBELEA KIKUNDI CHA SAUTI YA WALEMAVU KATIKA MAONYESHO YA BIASHARA YA SABASABA
10 years ago
MichuziCRDB YAIPIGA 'JEKI' CHUO KIKUU CHA ST JOHN'S DODOMA
Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya CRDB, Philip Alfred akihutubia wakati wa Mahafali ya 5 ya Chuo Kikuu cha St. John's Mjini Dodoma mwishoni mwa wiki. (Na Mpiga Picha Wetu)
Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dodoma, Dickson Chilongani (kushoto), akikabidhiwa na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya CRDB, Philip Alfred, mfano wa hundi na bahasha mara baada ya hotuba. Hundi hiyo ina thamani ya hundi ya sh. milioni 10 ukiwa ni msaada wa benki hiyo kwa Chuo Kikuu cha St. John's...
11 years ago
Uhuru Newspaper08 Jul
Ridhiwani kujenga chuo cha walemavu
NA MWANDISHI WETU
MBUNGE wa jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, ametoa eneo la ekari 20 kwa ajili ya ujenzi wa chuo maalumu cha watu wenye ulemavu kitakachojengwa Chalinze, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani.
Chuo hicho kitajengwa na mjini Chalinze kwa ufadhili wa rafiki wa mbunge huyo aliyeko nchini Uingereza, James James, ambaye ni ana ulemavu wa ngozi.
Akizungumzia msaada huo, Ridhiwani alisema alikutana na James na kumwomba awasaidie walemavu wa ngozi katika jimbo lake ili wapate vifaa...
11 years ago
Tanzania Daima08 May
Vikwazo vinavyofifisha malengo Chuo cha Walemavu Yombo
WIKI ya Kimataifa kwa Vitendo (Global Action Week) yenye kaulimbiu ya ‘Elimu na Watoto wenye Ulemavu’ iliyoanza Mei 4 mwaka huu, imeibua changamoto lukuki zinazowakabili wanafunzi wenye ulemavu katika Chuo...
11 years ago
Tanzania Daima01 May
Wahitimu chuo cha ufundi kwa walemavu wakosa ajira
WAHITIMU wa Chuo cha Ufundi cha watu wenye ulemavu Yombo wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kukosa ajira kutokana na mtazamo potofu wa jamii. Hayo yalibainishwa juzi jijini Dar es Salaam...
9 years ago
StarTV30 Dec
Majengo machakavu changamoto kwa walemavu Chuo Cha Ufundi Yombo
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia watu wenye ulemavu Dokta Abdallah Possi ameeleza kusikitishwa na hali aliyoikuta katika Chuo cha Ufundi Yombo kwa watu wenye ulemavu.
Katika ziara yake ya kwanza tangu ateuliwa kushika wadhifa huo, Dokta Possi amekuta uchakavu wa majengo ya chuo hicho sambamba na kumegwa kwa eneo la ukubwa wa ekari Tano.
Dk. Possi ambaye alifika chuoni hapo alianza kwa kukagua maeneo yanayozunguka chuo hicho na kujionea hali halisi ya chuo hicho kilichodaiwa...
10 years ago
Dewji Blog09 Jul
Global Education Link yavialika Chuo kikuu cha Sharda na Lovely Professional vya India kushiriki maonyesho ya sabasaba jijini Dar
Mkurugenzi wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Bw. Abdulmalik Mollel (wa pili toka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa vyuo vya nje ya nchi kutoka kushoto ni Meneja Miradi wa Chuo Kikuu cha Lovely Professional cha Nchini India, Bw. Gulshan Sandh na Bw. Sourabh Chaudhary pamoja na Meneja wa Kanda wa Chuo Kikuu cha Sharda cha nchini India, Bw. Deepak Kaushik mara baada ya kuwakaribisha katika ofisi yao iliyopo ndani ya maonyesho ya 39 ya...