Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KOMBE LA KAGAME: Azam yainyuka KCCA

>Azam imefuta uteja kwa KCCA ya Uganda kwa kuichapa bao 1-0 katika mchezo wa kwanza kwa Kundi C wa mashindano ya Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

AZAM FC MABINGWA WA KOMBE LA KAGAME 2015

Kombe la Kagame walilotwaa Azam FC. (Picha zote na Francis Dande) Nahodha wa Azam John Bocco akipokea kitita cha dola za kimarekani dola elfu 30.Viongozi wa Azam pamoja na wachezaji wakiwa katika picha ya pamoja.
 Wachezaji wa Azam FC wakishangilia wakiwa na Kombe lao baada ya kukabidhiwa katika mchezo wa fainali baada ya kuifunga Gor Mahia ya Kenya 2-0.Kocha Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall akiwa amebebwa na wachezaji wa timu hiyo baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali ya Kombe la Kagame...

 

10 years ago

Mwananchi

Kila la heri Azam FC Kombe la Kagame leo

Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki ya Kombe la Kagame, Azam FC leo wanapambana na Gor Mahia ya Kenya katika mechi ya fainali itakayofanyika Uwanja wa Taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

KOMBE LA KAGAME: Azam FC, KMKM zainga vitani Kigali

>Mtoto hatumwi dukani, ndivyo unavyoweza kutamka, wakati Azam FC itakapowakabili wenyeji Rayon Sport katika moja kati ya mechi tatu za ufunguzi wa michuano ya Kombe la Kagame, zitakayopigwa leo kwenye Uwanja wa Amahoro, Kigali, Rwanda.

 

10 years ago

Michuzi

JK APOKEA KOMBE LA KAGAME TOKA KWA AZAM FC IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Mrisho kikwete pozi na mabingwa Kombe la Kagame na mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015. Azam ambao pia ni mabingwa wa soka wa Tanzania Bara walishinda kombe hilo katika michuano ya Shirikisho la soka kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati yaani CECAFA hivi karibuni

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE APOKEA KOMBE LA KAGAME TOKA KWA AZAM FC IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO



 Rais Jakaya Mrisho kikwete pozi na mabingwa Kombe la Kagame na mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015. Azam ambao pia ni mabingwa wa soka wa Tanzania Bara walishinda kombe hilo katika michuano ya Shirikisho la soka kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati yaani CECAFA hivi karibuni

 

11 years ago

Mwananchi

KCCA wateka Kombe Mapinduzi

Bao la mshambuliaji Herman Waaswa lilitosha kuipa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi timu ya KCCA ya Uganda baada ya kuichapa Simba 1-0 katika mechi ya fainali iliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

 

10 years ago

Habarileo

Azam, KCCA ni kisasi

AZAM leo itakuwa uwanjani kumenyana na KCCA ya Uganda katika mechi ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Kagame itakayochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanga yainyuka Kilimanjaro kombe la Taifa

Timu ya Mkoa wa Tanga imeichapa Kilimanjaro 2-0 katika mchezo wa kusaka vipaji uliofanyika kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

10 years ago

Mwananchi

Azam yainyuka Kagera, yakaa kileleni Ligi Kuu

Azam imejikita kileleni mwa Ligi Kuu kwa kishindo baada ya kuichapa Kagera Sugar ya Bukoba kwa mabao 3-1 jana kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani