Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Komesheni ukoloni Sahara Magharibi-UN

Umoja wa Mataifa umesema kuwa unaitambua Sahara Magharibi kuwa ni koloni linalopaswa kuondokana na minyororo ya ukoloni ili liweze kujiamulia mambo yake yenyewe kama taifa huru.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

AU imeisahau Sahara Magharibi?

MIAKA ya 1970 na hata mwanzoni mwa miaka ya 1980, suala la uhuru wa Sahara Magharibi lilikuwa likijadiliwa kila wakati na hasa katika mikutano ya wakuu wa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU) wa wakati ule.

Umoja huo uliounda pia chombo cha kusimamia ukombozi wa nchi za Afrika zilizokuwa zikitawaliwa bado, Kamati ya Ukombozi ya OAU, chini ya Brigedia Hashim Mbita, haukusita kuwakemea viongozi wanaotawala mataifa mengine kwa mabavu.

Lakini hali hii kwa sasa imepotea na inavyoonekana,...

 

10 years ago

Mwananchi

Mugabe: Vijana pingeni ukoloni mamboleo

Arusha. Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe ametoa wito kwa vijana barani Afrika kupinga dhana ya ukoloni mamboleo pamoja na kulinda rasilimali zilizopo ndani ya bara hili kwa masilahi ya vizazi vijavyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mikataba inavyoweza kurejesha ukoloni mpya Afrika

Ilikuwa miaka 12 na sasa zimesalia takriban siku 90 au miezi mitatu ili mwisho wa kutia saini mkataba wa uhusiano wa kibiashara baina ya Umoja wa Ulaya (EU) na nchi zinazoendelea (EPAs) ifike.

 

10 years ago

Mwananchi

Sababu za kuenea Kiswahili kabla na wakati wa ukoloni

Ukuaji na ueneaji ni maneno mawili yenye maana zinazokaribiana lakini zinazotofautiana. Ukuaji humaanisha ongezeko la msamiati katika lugha na ueneaji ni uongezekaji wa matumizi ya lugha kieneo.

 

11 years ago

Mwananchi

Elimu iwakumbushe vijana faida na hasara za ukoloni (2)

Hoja yangu tangu wiki iliyopita ni kuwakumbusha vijana kufahamu vyema historia yao hasa kuhusu ukoloni na athari zake, ili wajipange vyema kutumia fursa zilizopo na kuendeleza jamii zao.

 

10 years ago

Mwananchi

Maendeleo ya Kiswahili tangu ukoloni hadi sasa.

Lugha ya Kiswahili ni kiungo muhimu sana katika maendeleo ya nchi za Afrika Mashariki hasa katika uchumi, elimu, siasa, maendeleo ya Kiswahili, utamaduni, biashara, n.k. Hivi sasa ziko juhudi za ushirikiano na maelewano kwa jamii nzima ya Afrika Mashariki kupitia lugha ya Kiswahili.

 

9 years ago

Bongo5

Video mpya ya Taylor Swift yashutumiwa ‘kutukuza ukoloni wa Afrika’

Video ya wimbo mpya wa Taylor Swift, ‘Wildest Dreams’ imeshutumiwa kwa kutukuza zama za ukoloni wa Afrika. Video hiyo inamuonesha Swift akiwa na mpenzi wake wa kuigiza, Scott Eastwood kwenye mbuga ya wanyama na watu wote wanaoonekana wakiwa ni wazungu zaidi. Hata hivyo muongozaji wa video hiyo, Joseph Kahn amesema video hiyo haihusiani na ukoloni […]

 

9 years ago

Bongo5

Beyoncé akanusha kuhusika kwenye filamu inayomhusu mwanamke maarufu wa Afrika Kusini enzi za ukoloni

beyonce-flag

Beyoncé amekanusha kuhusika kwa namna yoyote ile kwenye filamu ya maisha ya Saartjie ‘Sarah’ Baartman.

beyonce-flag

Mapema wiki hii, ilidaiwa kimakosa kuwa Beyoncé ataandika na kucheza kwenye filamu ya mwanamke huyo wa Afrika Kusini aliyekuwa akioneshwa hadharani na wakoloni wa Uingereza kutokana na kuwa na umbo lenye utata hasa, hasa makalio makubwa miaka ya 1800s.

“Beyoncé is in no way tied to this project,” mwakilishi wake aliiambia Billboard. “This is an important story that should be told,...

 

9 years ago

BBC

Should we solar panel the Sahara?

Should we cover the Sahara desert with solar panels?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani