Mikataba inavyoweza kurejesha ukoloni mpya Afrika
Ilikuwa miaka 12 na sasa zimesalia takriban siku 90 au miezi mitatu ili mwisho wa kutia saini mkataba wa uhusiano wa kibiashara baina ya Umoja wa Ulaya (EU) na nchi zinazoendelea (EPAs) ifike.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo503 Sep
Video mpya ya Taylor Swift yashutumiwa ‘kutukuza ukoloni wa Afrika’
9 years ago
Bongo507 Jan
Beyoncé akanusha kuhusika kwenye filamu inayomhusu mwanamke maarufu wa Afrika Kusini enzi za ukoloni
![beyonce-flag](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/beyonce-flag-300x194.jpg)
Beyoncé amekanusha kuhusika kwa namna yoyote ile kwenye filamu ya maisha ya Saartjie ‘Sarah’ Baartman.
Mapema wiki hii, ilidaiwa kimakosa kuwa Beyoncé ataandika na kucheza kwenye filamu ya mwanamke huyo wa Afrika Kusini aliyekuwa akioneshwa hadharani na wakoloni wa Uingereza kutokana na kuwa na umbo lenye utata hasa, hasa makalio makubwa miaka ya 1800s.
“Beyoncé is in no way tied to this project,” mwakilishi wake aliiambia Billboard. “This is an important story that should be told,...
11 years ago
Mwananchi08 Jul
Mbinu mpya kuwabana wanaokwepa kurejesha mikopo
9 years ago
Dewji Blog11 Dec
Afrika isitumike kama ‘kichaka’ mikataba ya makubaliano ya COP 21!!
Wasanii wakiigiza moja ya maigizo ambayo yanaelezea namna ya mapambano dhidi ya Mabadiliko ya Tabianchi yanavyoathiri za Afrika. katika igizo hilo lililokuwa likielezea namna Mwanamke anavyotegemea msaada kutoka kwa mmewe ambaye mwishoni anamgeukia kutokana na kuto mnufaisha ndani ya nyumba hivyo ndugu na jamaa wa karibu pamoja na waliokuwa msaada kwa mwanaume kusaidiana kumshambulia mwanamke aondoke ndani ya nyumba. Igizo hilo lilichezwa jana Desemba 10.2015 katika banda la Afrika na...
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Komesheni ukoloni Sahara Magharibi-UN
10 years ago
Mwananchi30 Mar
Mugabe: Vijana pingeni ukoloni mamboleo
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Sababu za kuenea Kiswahili kabla na wakati wa ukoloni
10 years ago
Mwananchi20 Mar
Maendeleo ya Kiswahili tangu ukoloni hadi sasa.