Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kondoa waipa uzito CCM

MATOKEO ya Uchaguzi wa Serikali ya Mitaa katika Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma, yanaonesha kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza katika vijiji na vitongoji vingi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MTERA, KONDOA KASKAZINI NA KONDOA KUSINI : UKAWA IJIFUNGE MKANDA

Jumatano iliyopita tuliangazia majimbo ya Dodoma Mjini, Bahi na Chilonwa. Leo tunaendelea kuchambua majimbo ya Mkoa wa Dodoma tukijikita kwenye majimbo ya Mtera, Kondoa Kaskazini na Kondoa Kusini. 

 

10 years ago

Habarileo

Masasi waipa CCM ushindi wa kimbunga

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Masasi kimeendelea kufanya vizuri katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji huku baadhi ya vyama vya upinzani wilayani humo, vikikiri kuwa bado ni vigumu kukiondoa madarakani chama tawala.

 

10 years ago

AllAfrica.Com

Kondoa Ward Implements CCM Manifesto


Kondoa Ward Implements CCM Manifesto
AllAfrica.com
Kondoa — KWADELO Ward in Kondoa District, Dodoma Region has recorded commendable results in the implementation of public development projects lined up in the 2010 ruling party's election manifesto. Speaking at a public rally officiated by the ...

 

9 years ago

Michuzi

MCHAKAMCHAKA WA MWIGULU NCHEMBA WATUA SIMANJIRO,KONDOA NA KITETO,CCM YAENDELEA KUUNGWA MKONO KWA KISHINDO

Mjumbe wa timu ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi Ndg.Mwigulu Nchemba akiwasili Jimbo la Simanjiro na kupokelewa na Mbunge mtarajiwa wa Jimbo hilo Ndg.Ole Sendeka mapema hii leo.Mwigulu Nchemba akimnadi Ole sendeka kwa wananchi wake,Kubwa ni Ujasiri wa Ole sendeka kwenye kutetea maslahi ya taifa,Ufuatiliaji wa Miradi ya maendeleo kama barabara zinazokwenda kujengwa kwa kiwango cha rami kuunganisha na mikoa inayopakana na SImanjiro.Ole Sendeka akizungumza na Wananchi wake wa kata ya Engesbert...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA YAZIDI KUCHANJA MBUGA JIMBO LA BAHI,KESHO KUIVURUGA KONDOA

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kijiji cha Misisi kata ya Misisi,wilayani Bahi mapema leo,mkoani Dodoma akiwa ziarani ndani ya jimbo la Bahi.
Ndugu Kinana amezungumza na wananchi hao waliokuwa wamebeba mabango na kuzuia msafara wake,kutokana na matatizo yaliyokuwapo katika kijiji hicho na kukosa ufumbuzi kwa muda mrefu.Wananchi hao walikuwa na lalamiko lao moja kubwa lililohusu shule yao ya msingi ya Msisi,ambayo madarasa yake mawili yaliezuliwa...

 

10 years ago

Mwananchi

NMB waipa udhamini Azam FC

Benki ya NMB imeingia mkataba wa udhamini wa miaka miwili na mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC, wenye thamani ya Sh 2 Bilioni.

 

10 years ago

GPL

ODAMA, NISHA WAIPA UJIKO STEPS

Staa wa filamu Bongo, Jenipha Kyaka 'Odama'. Stori: Mwandishi wetu
MASTAA wa filamu Bongo, Nisha, Odama na Aunt Ezekiel wameipongeza kampuni ya Steps Entertainments kwa kitendo chake cha kuagiza mtambo wa kurekodia filamu kitu ambacho kitawasaidia wasanii kufaidika. “Kitendo cha kurekodia nje ya nchi kilikuwa kinawafanya wasambazaji kuongeza gharama za filamu zetu kwa walaji, kitu ambacho kilikuwa kikiwafanya...

 

9 years ago

Habarileo

GSM Media waipa Taswa mil 50/-

TAASISI ya GSM Media ya Dar es Salaam imetoa Sh milioni 50 kwa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kwa ajili ya kudhamini tuzo za wanamichezo waliofanya vizuri zaidi katika miaka 10 ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani