Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB waipa udhamini Azam FC

Benki ya NMB imeingia mkataba wa udhamini wa miaka miwili na mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC, wenye thamani ya Sh 2 Bilioni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

COUTINHO, TEGETE WAIPA PRESHA YANGA IKIIVAA AZAM

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Andrey Coutinho. Na Wilbert Molandi DAKTARI wa Klabu ya Yanga, Juma Sufiani, ametamka kuwa hatma ya kiungo wao mshambuliaji, Andrey Coutinho kuwavaa wapinzani wao, Azam FC, inatarajiwa kujulikana leo Ijumaa jioni. Timu hizo zinatarajiwa kujitupa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mechi ya Ngao ya Jamii, keshokutwa Jumapili, ambapo kiungo huyo raia wa Brazil ni majeruhi kama ilivyo...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAJITOSA KWENYE UDHAMINI WA BIMA MARATHON 2020

BENKI ya NMB, imetangazwa kuwa Mdhamini Mkuu wa Mbio za Bima Marathon 2020, zinazotarajiwa kufanyika Machi 28 jijini Dar es Salaam, chini ya uratibu wa Kampuni ya African Digital Banking Summit.Kwa udhamini huo, mbio hizo zinazoenda kufanyika kwa mara ya pili mfululizo, zitatambulika kwa jina la NMB Bima Marathon 2020, ambazo zitahusisha mbio za kilomita 21, kilomita 10 na kilomita tano.NMB imedhamini mbio hizo kwa kitita cha Sh. Milioni 35, ambako hafla ya NMB kutangaza udhamini wake huo...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga wasusa Sh300 mil za udhamini wa Azam wa Ligi Kuu Bara

Uongozi wa Yanga umetakiwa kuandika barua iwapo hawazihitaji fedha za udhamini wa Azam ambazo hadi sasa zimefika Sh300 milioni ili zielekezwe kwenye masuala mengine.

 

10 years ago

Michuzi

NMB NA AZAM FC WAZINDUA RASMI KADI ZA UANACHAMA WA AFC

Benki ya NMB kwa kushirikiana na Azam FC jana wamezindua rasmi kadi za wanachama wa klabu hiyo amabazo zitawawezesha kupata huduma za kibenki za NMB zilizotapakaa nchi nzima.
Naibu Waziri wa Habari ,Vijana ,utamaduni na michezo Mhe. Juma Nkamia ndie alikuwa mgeni rasmi katika hafla hii. Pia aliwataka wanachama kuiunga mkono timu hiyo kwa matokeo yoyote.
“Mashabiki najua kazi zenu ni mbili kushangilia na kuzomea timu pinzani hivyo nawataka muwe na mapenzi ya dhati na timu yenu kwani naamini...

 

10 years ago

Michuzi

Sasa NMB kuwafikia wateja wake Mpaka Vijijini kupitia NMB Wakala

Banki ya NMB imeingia makubaliano na kampuni ya Maxcom kupitia mtandao wa mawakala wanaojulikana kama Max Malipo kwaajili ya kuanza kutoa huduma za kibenki. HUduma hii itakuwa inaitwa NMB Wakala na itakuwepo kwenye kila wakala wa MaxMalipo waliotapakaa nchi nzima.
Kuingia kwa MaxCom kwenye benki ya NMB kunamaanisha kuwa NMB itazidi kupanua Zaidi mtandao wao kwa kuingia hadi vijijini tofauti na benki zingine. Kupitia mawakala wa MaxCom, wateja wa NMB wanaweza kutoa na kuweka fedha kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

NMB YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI NA WANACHAMA WA NMB BUSINESS CLUBS JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa NMB Business Club Kanda ya Temeke Bw. Ezekiel Matimo Gutti akiongea  machache  kuhusu  NMB Business Club Wilaya  ya Temeke  tangu kuanzishwa  kwake.

 Mtoa mada kuhusu kodi kutoka kampuni ya ‘Tanscott Taxation Service Ltd’ Bw. Hirji Abdallah akielezea kuhusu ulipaji wa kodi wakati wa semina ya wajasiriamali iliyondaliwa na benki ya NMB .Semina hiyo ulihudhuriwa na wanachama zaidi ya 400 wa NMB Business Club kutoka Wilaya ya Kinondoni, Ilala na Temeke hivi karibuni jijini...

 

10 years ago

Habarileo

Kondoa waipa uzito CCM

MATOKEO ya Uchaguzi wa Serikali ya Mitaa katika Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma, yanaonesha kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza katika vijiji na vitongoji vingi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani