Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BENKI YA NMB YAJITOSA KWENYE UDHAMINI WA BIMA MARATHON 2020

BENKI ya NMB, imetangazwa kuwa Mdhamini Mkuu wa Mbio za Bima Marathon 2020, zinazotarajiwa kufanyika Machi 28 jijini Dar es Salaam, chini ya uratibu wa Kampuni ya African Digital Banking Summit.Kwa udhamini huo, mbio hizo zinazoenda kufanyika kwa mara ya pili mfululizo, zitatambulika kwa jina la NMB Bima Marathon 2020, ambazo zitahusisha mbio za kilomita 21, kilomita 10 na kilomita tano.NMB imedhamini mbio hizo kwa kitita cha Sh. Milioni 35, ambako hafla ya NMB kutangaza udhamini wake huo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

NMB:HUDUMA YA BIMA KUPITIA BENKI HUKUZA BIASHARA ENDELEVU

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi, Biashara Ndogo na za Kati - Filbert Mponzi akizungumza na wateja waliohudhuria mkutano wa NMB Business Club kupata maoni yao kuhusu huduma na bidhaa za NMB.
Meneja wa Mikopo ya Nyumba NMB - Miranda Lutege akielezea mikopo ya nyumba wakati wa mkutano wa NMB Business Club.Meneja Mwandamizi wa Bima wa Benki ya NMB Martine Massawe Akielezea kuhusu Bima ‘Bancassuarance’ wakati wa mkutano wa NMB Business Club.
======= ======= ==========

Benki ya NMB imesisitiza umuhimu...

 

5 years ago

Michuzi

NMB: Huduma ya bima kupitia benki hukuza biashara endelevu


Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi, Biashara Ndogo na za Kati - Filbert Mponzi akizungumza na wateja waliohudhuria mkutano wa NMB Business Club kupata maoni yao kuhusu huduma na bidhaa za NMB.

Meneja wa Mikopo ya Nyumba NMB - Miranda Lutege akielezea mikopo ya nyumba wakati wa mkutano wa NMB Business Club.
Meneja Mwandamizi wa Bima wa Benki ya NMB Martine Massawe Akielezea kuhusu Bima ‘Bancassuarance’ wakati wa mkutano wa NMB Business Club.

======= ======= ==========


Benki ya NMB imesisitiza...

 

5 years ago

Michuzi

HUDUMA ZA BIMA SASA KUPATIKANA KATIKA MATAWI YOTE YA BENKI YA NMB

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya NMB, Bi. Margaret Ikongo akipongezana na Kamishna wa Bima kutoka Mamlaka ya Bima nchini (TIRA), Dkt. Mussa Juma baada ya kuzindua, NMB Bancassurance jijini Dar es Salaam. Katikati ni Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi, Biashara Ndogo na za Kati – Filbert Mponzi. Afisa Mkuu wa wateja Binafsi, Biashara ndogo na za kati, Filbert Mponzi (kushoto) na Kamishna wa Bima kutoka katika Mamlaka ya Bima nchini (TIRA), Dkt. Mussa Juma wakizindua NMB Bancassurance. Katikati ni...

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya Absa Tanzania yadhamini Kili Marathon 2020 kwa mafanikio

 Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Absa Tanzania, Aron Luhanga (katikati), pamoja na wafanyakazi wa benki hiyo wakishiriki mbio za Kilomita 21 za Kilimanjaro marathon pamoja na wakimbiaji wengine. Absa ilikuwa mmoja wa wadhamini ikigharamia  kituo cha kutoa maji ya kunywa na viburudisho kwa wakimbiaji. Mashindano hayo yalifanyika mjini Moshi, Kilimanjaro leo.   Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Absa Tanzania, Aron Luhanga (kushoto),  akimpongeza mmoja wa wakimbiaji wao...

 

9 years ago

Michuzi

NHIF YAINGIA MAKUBALIANO YA UDHAMINI WA BIMA VPL

Mfuko wa Bima ya Afya nchini (NHIF) umeingia makubaliano ya udhamini wa bima ya afya kwa wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi kwa vilabu 16 vya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Akiongea na waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika leo ofisi za TFF zilizopo Karume, Katibu Mkuu wa TFF Mwesigwa Selestine amesema wanaishukuru NHIF kwa kuwapa udhamini huo ambao utavisaidia vilabu vya Ligi Kuu katika matibabu ya wachezaji na bechi ka ufundi.
Tumekua na kilio...

 

10 years ago

Mwananchi

NMB waipa udhamini Azam FC

Benki ya NMB imeingia mkataba wa udhamini wa miaka miwili na mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC, wenye thamani ya Sh 2 Bilioni.

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA WANAWAKE TANZANIA YAJITOSA KUPIGA JEKI MAANDALIZI YA TUZO YA MWANAMAKUKA 2014

 Meneja Mradi wa Mwanamakuka Bi.Maryam Shamo akizungumzia maandalizi ya tuzo hizo.Mkurugenzi wa benki ya Wanawake Tanzania,Bi Margareth Chacha akizungumzia namna benki yake inavyoweza kuwasaidia Wanawake nchini,ambaye pia ni Mdau mkubwa wa Tuzo za Mwanamakuka

 

5 years ago

LetsRun.Com

Ethiopia's Ababel Yeshaneh Upsets Brigid Kosgei and Smashes Half Marathon World Record at 2020 RAK Half Marathon

Ethiopia's Ababel Yeshaneh Upsets Brigid Kosgei and Smashes Half Marathon World Record at 2020 RAK Half Marathon  LetsRun.comBrihane shatters half marathon world record, Kandie triumphs  Daily NationView Full coverage on Google News

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani