ODAMA, NISHA WAIPA UJIKO STEPS

Staa wa filamu Bongo, Jenipha Kyaka 'Odama'. Stori: Mwandishi wetu MASTAA wa filamu Bongo, Nisha, Odama na Aunt Ezekiel wameipongeza kampuni ya Steps Entertainments kwa kitendo chake cha kuagiza mtambo wa kurekodia filamu kitu ambacho kitawasaidia wasanii kufaidika. “Kitendo cha kurekodia nje ya nchi kilikuwa kinawafanya wasambazaji kuongeza gharama za filamu zetu kwa walaji, kitu ambacho kilikuwa kikiwafanya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Jan
Shaa: Wanalazimisha kolabo za kimataifa kupata ‘ujiko’
10 years ago
Mwananchi04 Sep
NMB waipa udhamini Azam FC
10 years ago
Habarileo17 Dec
Kondoa waipa uzito CCM
MATOKEO ya Uchaguzi wa Serikali ya Mitaa katika Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma, yanaonesha kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza katika vijiji na vitongoji vingi.
10 years ago
Habarileo17 Dec
Masasi waipa CCM ushindi wa kimbunga
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Masasi kimeendelea kufanya vizuri katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji huku baadhi ya vyama vya upinzani wilayani humo, vikikiri kuwa bado ni vigumu kukiondoa madarakani chama tawala.
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
Wakazi Dar waipa Tanesco siku 10
UMOJA wa wakazi waishio jijini Dar es Salaam zaidi ya 200 wametoa siku 10 kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kubadilisha bei mpya ya umeme na kurejesha iliyokuwepo awali. Akizungumza...
9 years ago
Habarileo17 Sep
GSM Media waipa Taswa mil 50/-
TAASISI ya GSM Media ya Dar es Salaam imetoa Sh milioni 50 kwa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kwa ajili ya kudhamini tuzo za wanamichezo waliofanya vizuri zaidi katika miaka 10 ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete.
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Makocha waipa neno beki ya Stars
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
Viongozi wa dini waipa somo serikali
SERIKALI imetakiwa kuwapa kipaumbele watu waliopo katika maeneo kunapogundulika rasilimali ili waweze kunufaika na rasilimali hizo. Wito huo ulitolewa mjini hapa jana na Sheikh Abubakar Zuberi kwa niaba ya Baraza...
10 years ago
Mwananchi01 Sep
Diwani, wafuasi wake waipa pigo CUF Tanga