Diwani, wafuasi wake waipa pigo CUF Tanga
Chama cha Wananchi (CUF) kimepata pigo baada ya diwani wake maarufu wa Kata ya Marungu, Wilaya ya Tanga, Mohamed Mambeya kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper29 Jan
Wafuasi 30 wa CUF wapandishwa kizimbani
NA FURAHA OMARY
WAFUASI 30 wa Chama cha CUF, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka matatu, likiwemo la kufanya mgomo baada ya kukatazwa kukusanyika na kuandamana.
Washitakiwa hao walisomewa mashitaka hayo jana mbele ya Hakimu Mkazi, Emmilius Mchauru na kupelekwa rumande katika gereza la Segerea, kutokana na barua za wadhamini kutakiwa kuhakikiwa.
Kwa mujibu wa hati ya mashitaka, washitakiwa hao ni Shabani Ngurangwa (56), Shabani Tano au...
10 years ago
GPLWAFUASI WA CUF WAPATA DHAMANA
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Wafuasi CUF wacheza ‘sinema’ mahakamani
11 years ago
Mwananchi22 Sep
Wafuasi CCM,CUF watwangana Dar
10 years ago
Mwananchi30 Jan
Wafuasi 30 wa CUF wapata dhamana Kisutu
10 years ago
GPLWAFUASI 29 WA CUF WAACHIWA KWA DHAMANA
11 years ago
KwanzaJamii22 Sep
Wafuasi CCM, CUF watwangana Dar
10 years ago
StarTV28 Jan
Polisi yatawanya wafuasi wa CUF kwa mabomu.
Na Glory Matola,
Dar es Salaam.
Jeshi la Polisi limelazimika kulipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Wananchi CUF waliojiandaa kuandamana hadi Viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya kumbukumbu ya mauaji ya baadhi ya wafuasi wake huko Zanzibar.
Pamoja na mabomu hayo, Jeshi hilo pia lilimkamata Mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ibrahimu Lipumba, baadhi ya wanachama na mwandishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo na kupelekwa kituo...
10 years ago
Habarileo13 Feb
Upelelezi kesi ya wafuasi wa CUF bado kukamilika
UPEELELEZI wa kesi ya kutotii amri halali ya polisi na kufanya mkusanyiko usio halali inayowakabili wafuasi 30 wa Chama cha Wananchi (CUF) haujakamilika.