Korti yakataa kuzuia kura ya maamuzi Rwanda
Mahakama ya Juu nchini Rwanda imetupilia mbali kesi ya kupinga marekebisho katiba kumruhusu Rais Kagame kuwania urais muhula wa tatu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Oct
CCM yakataa kesi kura za maoni
11 years ago
BBCSwahili15 Jan
Ghasia kwenye kura ya maamuzi Misri
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-JHYzRIP17to/Vh57xq-F4rI/AAAAAAAH_7I/ffPYWnl2jZ0/s72-c/MAAMUZI%2BYA%2BTUME%2BYA%2BBUSARA%2BKUHUSIANA%2BNA%2BUPIGAJI%2BKURA.png)
9 years ago
BBCSwahili25 Oct
Kura ya maamuzi kuhusu katiba yaandaliwa Congo
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Daftari la Wapiga kura: Chadema kuchukua maamuzi magumu
10 years ago
KwanzaJamii29 Sep
MAAMUZI MAGUMU BUNGE LA KATIBA, KURA KUPIGWA HADI ALHAMISI
9 years ago
BBCSwahili10 Dec
Rwanda kupiga kura ya maoni
9 years ago
BBCSwahili21 Dec
Wapiga kura Rwanda waamua
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Kura ya maoni marekebisho ya katiba Rwanda yaanza
Raia wa Rwanda akipiga kura ya maoni.
Wananchi wakiwa kwenye foleni wakisubiri zamu yao ya kupiga kura iwadie.
…wakisikiliza moja ya midahalo nchini humo.
Raia wa Rwanda wameanza kufika vituoni kushiriki kwenye kura ya maoni ya marekebisho ya katiba, ambayo yakiidhinishwa yatamruhusu Rais Paul Kagame kuwania urais kwa muhula wa tatu.
Vituo vya kupigia kura vilifunguliwa asubuhi na mapema, huku watu 6 milioni wakitarajiwa kupiga kura. Bw Kagame anatarajiwa kupiga kura katika kituo cha...