Kova: Ole wenu wafuasi wa Gwajima
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limetoa onyo kwa wafuasi wa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ambao leo wamepanga kumsindikiza kiongozi wao kwenda katika mahojiano na jeshi hilo.
Hatua ya wafuasi hao kutaka kumsindikiza kiongozi huyo, imekuja baaada ya kutangaziwa kujitokeza kwa wingi wakiwa katika kanisa hilo lilipo Kawe, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Ole wenu Yanga, aonya Julio
10 years ago
Mwananchi13 Oct
Mutungi: Viongozi wa siasa watulizeni wafuasi wenu
9 years ago
Mwananchi27 Nov
Ole wenu mnaokwepa kulipa kodi - TRA
10 years ago
Vijimambo12 Mar
OLE WENU MNAOPENDA HADI KUKWAA ‘UGONJWA’ WA KKK!

10 years ago
GPL
OLE WENU MNAOPENDA HADI KUKWAA ‘UGONJWA’ WA KKK!
10 years ago
Mtanzania11 Apr
Mawakili wa Gwajima wamwandikia Kova barua
NA AGATHA CHARLES
WAKILI wa Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, Peter Kibatala, ameliandikia barua Jeshi la Polisi nchini akiomba vifungu vya sheria vilivyotumika kuomba nyaraka za umiliki wa vitu mbalimbali vya Askofu huyo.
Pamoja na hilo, Kibatala aliomba mteja wake huyo kuambiwa kwa maandishi juu ya vitu vinavyotakiwa kuwasilishwa kwa Jeshi hilo.
Barua hiyo ambayo Kibatala ameielekeza kwa Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, pia nakala yake...
10 years ago
Mwananchi16 Apr
Mkwara wa Gwajima kwa Kova wazaa matunda
10 years ago
Dewji Blog30 Mar
Sakata la Gwajima: Wafuasi wake 15 mbaroni kwa madai ya kutaka kumtorosha
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia na kuwahoji watu 15 ambao wanatuhumiwa kwa makosa ya kula njama pamoja na kujaribu kumtorosha Askofu Josephat Mathias Gwajima ambaye amelazwa katika Hospitali ya TMJ kwa matibabu.
Mnamo tarehe 29/03/2015 majira ya saa tisa na dakika thelathini usiku watu hao 15 katika hali isiyo ya kawaida walifika hospitalini hapo wakidai kwamba walikuwa wanataka kwenda kumuona...
10 years ago
Dewji Blog17 Apr
Breaking News! Askofu Gwajima ‘aidindia’ jeshi la Polisi waliomfuata kumchukua nyumbani kwake SalaSala, ajisalimisha na Wakili wake muda huu kwa Kamanda Kova
Baadhi ya Maaskofu wa Kanisa la Gwajima na maaskofu rafiki wa makanisa ya Pentekoste wakiongea na Gwajima (Hayupo pichani) ambaye alikuwa akiwapa maelekezo kabla ya kuondoka kwenda kuhojiwa jeshi la Polisi mchana wa leo.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima mapema leo ameibua hofu kubwa kwa majirani na waumini wake waliokuwa wametanda nje ya nyumba yake baada ya Jeshi la Polisi kuvamia kwake kwa lengo la kumchukua kwenda Polisi Centro...