Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OLE WENU MNAOPENDA HADI KUKWAA ‘UGONJWA’ WA KKK!

Niwiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiwa na imani kwamba Mungu amekujaalia uzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida.Mimi kama ilivyo ada yangu, namshukuru Mungu kwa kila jambo ambalo amekuwa akinitendea katika maisha yangu ya kila siku.Kikubwa nimshukuru kwa kunipa uwezo wa kuandika mambo ambayo yamekuwa ni yenye msaada kwa wengi walio kwenye uhusiano wa kimapenzi.Niseme tu kwamba, maisha yetu bila mapenzi hayajakamilika. Hata uwe mgumu...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

OLE WENU MNAOPENDA HADI KUKWAA ‘UGONJWA’ WA KKK!

Niwiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiwa na imani kwamba Mungu amekujaalia uzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida.Mimi kama ilivyo ada yangu, namshukuru Mungu kwa kila jambo ambalo amekuwa akinitendea katika maisha yangu ya kila siku. Kikubwa nimshukuru kwa kunipa uwezo wa kuandika mambo ambayo yamekuwa ni yenye msaada kwa wengi walio kwenye uhusiano wa kimapenzi. Niseme tu...

 

9 years ago

Mwananchi

Ole wenu Yanga, aonya Julio

Ligi Kuu Tanzania Bara inarejea leo kwa michezo kadhaa, ingawa ule wa Yanga dhidi ya Mwadui, ugenini mjini Shinyanga ndiyo wenye kuvuta hisia za wengi.

 

10 years ago

Mtanzania

Kova: Ole wenu wafuasi wa Gwajima

Kamishna Suleiman Kova

Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova

Na Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limetoa onyo kwa wafuasi wa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ambao leo wamepanga kumsindikiza kiongozi wao kwenda katika mahojiano na jeshi hilo.
Hatua ya wafuasi hao kutaka kumsindikiza kiongozi huyo, imekuja baaada ya kutangaziwa kujitokeza kwa wingi wakiwa katika kanisa hilo lilipo Kawe, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na...

 

9 years ago

Mwananchi

Ole wenu mnaokwepa kulipa kodi - TRA

Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), imesema haitatishika wala kuyumbishwa na mfanyabiashara yeyote kutekeleza majukumu yake kutokana na nguvu iliyoongezewa na Rais John Magufuli.

 

5 years ago

Michuzi

WAZAZI TENGENI MUDA NA WATOTO WENU NA MUWAPE ELIMU JUU YA UGONJWA WA COVID-19

Baadhi ya washarika wakiwa wanatawanyika mara baada ya ibada ya kwanza katika KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati Jimbo la Arusha Mashariki Usharika wa EngarenarokNaibu Katibu mkuu  Misioni na Uinjilisti Dayosisi kaskazini Kati Jackson Kahembu akinawa mikono mara baada ya kumalizika kwa ibada ya kwanza kama anavyoonekana katika picha.
Baadhi ya washarika wakiwa wanatawanyika mara baada ya ibada ya kwanza katika KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati Jimbo la Arusha Mashariki Usharika wa Engarenarok

 

10 years ago

GPL

MNAOPENDA KURUKA UKUTA SOMENI HII!

NI matumaini yangu wapenzi wa safu yetu maridhawa ya Love Story mko vizuri. Tunakutana tena katika maeneo yetu ya kujidai na kupeana mawili matatu yahusuyo mapenzi. Raha ya mapenzi ni pale yanapofanyika kwa nafasi na usalama. Kila mmoja akaendelea kufurahia uhusiano kwa maana ameridhika katika njia ambayo ni salama kwa pande zote mbili.Ndugu zangu, penzi linanoga pale linapomhusisha mwanaume na mwanamke katika njia ambazo hazina...

 

10 years ago

Vijimambo

MNAOPENDA KURUKA UKUTA SOMENI HII!


NI matumaini yangu wapenzi wa safu yetu maridhawa ya Love Story mko vizuri. Tunakutana tena katika maeneo yetu ya kujidai na kupeana mawili matatu yahusuyo mapenzi.

Raha ya mapenzi ni pale yanapofanyika kwa nafasi na usalama. Kila mmoja akaendelea kufurahia uhusiano kwa maana ameridhika katika njia ambayo ni salama kwa pande zote mbili.Ndugu zangu, penzi linanoga pale linapomhusisha mwanaume na mwanamke katika njia ambazo hazina madhara na si vinginevyo.

Ukitazama kichwa cha habari hapo juu,...

 

11 years ago

Habarileo

Waeleza sababu za kushindwa KKK

KUTOJUA misingi ya Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK), kumeelezwa ni moja ya sababu kubwa inayowafanya wanafunzi wengi kushindwa masomo yao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Roma alia kubanwa kwenye ‘KKK’

MKALI wa muziki wa hip hop nchini, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ amevilalamikia baadhi ya vyombo vya habari kwa kukataa kupiga wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la ‘KKK’ hadi atakapofuta...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani