Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MNAOPENDA KURUKA UKUTA SOMENI HII!


NI matumaini yangu wapenzi wa safu yetu maridhawa ya Love Story mko vizuri. Tunakutana tena katika maeneo yetu ya kujidai na kupeana mawili matatu yahusuyo mapenzi.

Raha ya mapenzi ni pale yanapofanyika kwa nafasi na usalama. Kila mmoja akaendelea kufurahia uhusiano kwa maana ameridhika katika njia ambayo ni salama kwa pande zote mbili.Ndugu zangu, penzi linanoga pale linapomhusisha mwanaume na mwanamke katika njia ambazo hazina madhara na si vinginevyo.

Ukitazama kichwa cha habari hapo juu,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MNAOPENDA KURUKA UKUTA SOMENI HII!

NI matumaini yangu wapenzi wa safu yetu maridhawa ya Love Story mko vizuri. Tunakutana tena katika maeneo yetu ya kujidai na kupeana mawili matatu yahusuyo mapenzi. Raha ya mapenzi ni pale yanapofanyika kwa nafasi na usalama. Kila mmoja akaendelea kufurahia uhusiano kwa maana ameridhika katika njia ambayo ni salama kwa pande zote mbili.Ndugu zangu, penzi linanoga pale linapomhusisha mwanaume na mwanamke katika njia ambazo hazina...

 

11 years ago

GPL

KOLETA NA MAPENZI YA ‘KURUKA UKUTA’

Na Gladness Mallya BISHOSTI anayeuza nyago kwenye filamu za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ amefunguka kuwa analaani mastaa wanaokubali kutumiwa kimapenzi kinyume na maumbile akidai kuwa wapo ambao wamekuwa wakifanya kitendo hicho kwa tamaa ya pesa. Coletha Raymond ‘Koleta’. Akistorisha na Ijumaa, Koleta alisema anachukizwa na tabia hiyo kwani ni uchafu na kujidhalilisha kulikopitiliza....

 

10 years ago

Vijimambo

WAZAZI SOMENI HABARI HII YA KUSIKITISHA HAUSIGELI ALIVYOMFANYIA MTOTO

Mtoto, Samwel John akiwa na maumivu makali aliyoyapata baada ya kujeruhiwa kwa kisu.
Na Imelda mtema wa GPLUnyama! Dada wa kazi (hausigeli), aliyetajwa kwa jina moja la Rachel, mkazi wa Tabata-Shule jijini Dar, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuchukua kisu jikoni kisha kumchomachoma nacho mtoto, Samwel John (4) anayeishi nyumba ya jirani.

Akizungumzia mkasa huo kwa masikitiko makubwa uliojiri hivi karibuni maeneo hayo, baba mzazi wa mtoto huyo aliyejitambulisha kwa jina moja la John...

 

11 years ago

GPL

CHOKI, ASHA BARAKA, HEBU TULIENI, SOMENI HII BARUA!

Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ali Choki. KWENU,
Ali Choki na Asha Baraka. Kwanza poleni sana kwa majukumu yenu ya kila siku. Najua mchakamchaka mnaokutana nao kila siku. Mnapambana kuhakikisha maisha yanasonga kama kawaida, ingawa changamoto ni za kawaida.…

 

10 years ago

GPL

UNYAMA! WAZAZI SOMENI HABARI HII YA KUSIKITISHA HAUSIGELI ALIVYOMFANYIA MTOTO

Na Imelda mtema
Unyama! Dada wa kazi (hausigeli), aliyetajwa kwa jina moja la Rachel, mkazi wa Tabata-Shule jijini Dar, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuchukua kisu jikoni kisha kumchomachoma nacho mtoto, Samwel John (4) anayeishi nyumba ya jirani. Mtoto, Samwel John akiwa na maumivu makali aliyoyapata baada ya kujeruhiwa kwa kisu. Akizungumzia mkasa huo kwa masikitiko makubwa uliojiri hivi karibuni maeneo hayo, baba...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kipindi cha Tuwalinde Watoto Wetu kuruka tena Alhamisi hii, Clouds TV

janeth 2

Mmiliki na mwendeshaji wa kipindi cha Tuwalinde Watoto Wetu, Janet Mwenda.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Kipindi cha Tuwalinde Watoto Wetu kilichokuwa kikirushwa na Clouds TV, Alhamisi ya wiki hii kinatarajiwa kuanza tena kuonekana kupitia Clouds TV Alhamisi ya Disemba 10, saa tatu kamili usiku.

Akizungumza na Dewjiblog, Mmiliki na mwendeshaji wa kipindi hicho, Janet Mwenda amesema kuwa kipindi cha Alhamisi hii kinatarajiwa kuja na kitu kipya tofauti na vile walivyokizoea kuonekana hapo awali...

 

10 years ago

Michuzi

MZINGA: GARI YA SERIKALI YA YAPARAMIA UKUTA JIONI HII

 Gari ya Serikali aina ya Toyota Land Cruser yenye namba za Usajili STK 7278, ikiwa imeparamia ukuta wa Shule ya msingi Al Muntazir iliyopo kwenye makutano ya barabara ya Sea View na Barack Obama Drive,jijini Dar es salaam,mara baada ya dereva wake (jina kapuni) kushindwa kulimudu gari hilo pale alipochomekewa na gari nyingine ambayo iliingia mitini.ajali hii imetokea jioni ya leo,wakati gari hili likiwa linatokea mjini kuelekea Palm Beach.hakuna aliejeruhiwa katika ajali hii.Wafanyakazi wa...

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio kali yenyewe, unakojolea ukuta alafu mkojo unakurudia mwenyewe (+Video)

Kama una tabia ya kujibana kona alafu unajisaidia haja ndogo, mambo yanaweza kukuharibikia kona yoyote !! Nasubiri kuona hii kitu kwa hamu sana, itapunguza matangazo yaliyoandikwa ‘USIJISAIDIE HAPA, UKIKAMATWA FAINI ….‘ Hii stori nimeipata kwenye ukurasa wa BBC mtandaoni, wamesema Uingereza wako kwenye majaribio ya rangi maalum ambayo haipatani na mkojo kabisa, ikitokea mtu kajibana […]

The post Hii ndio kali yenyewe, unakojolea ukuta alafu mkojo unakurudia mwenyewe (+Video) appeared first...

 

9 years ago

Dewji Blog

SHUJAAZ RADIO SHOW NA DJ TEE: Kuanza kuruka hewani Jumamosi hii East Africa Radio

EAR - Online Promo (1)

Unamkumbuka yule dogo aliyeanzisha redio stesheni yake nyumbani kwao? Bila shaka umewahi kusoma story yake kwenye kijarida cha kila mwezi kiitwacho SHUJAAZ ambacho husambazwa na gazeti la Mwanaspoti na vibanda vya Coca Cola. Sasa hivi, dogo ana habari mpya na njema kwa vijana na wote  wanaomfuatilia. Nyota imeanza kung’ara upande wake na sasa redio kubwa Tanzania EAST AFRICA RADIO imeamua kumpa nafasi aweze kusikika hewani na show yake mpya iitwayo SHUJAAZ.

“Show yangu itahusika na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani