UNYAMA! WAZAZI SOMENI HABARI HII YA KUSIKITISHA HAUSIGELI ALIVYOMFANYIA MTOTO
![](http://api.ning.com:80/files/TwbgnXl4eNXddmpqsj9a*86*9hfFe6l70i2mJLRXimnzOazRlMks7h0Voied7WFrU6LVAKQcXe6FydXgKNpobTU4LnTrS2*A/unyama.jpg)
Na Imelda mtema Unyama! Dada wa kazi (hausigeli), aliyetajwa kwa jina moja la Rachel, mkazi wa Tabata-Shule jijini Dar, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuchukua kisu jikoni kisha kumchomachoma nacho mtoto, Samwel John (4) anayeishi nyumba ya jirani. Mtoto, Samwel John akiwa na maumivu makali aliyoyapata baada ya kujeruhiwa kwa kisu. Akizungumzia mkasa huo kwa masikitiko makubwa uliojiri hivi karibuni maeneo hayo, baba...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo24 Oct
WAZAZI SOMENI HABARI HII YA KUSIKITISHA HAUSIGELI ALIVYOMFANYIA MTOTO
![](http://api.ning.com/files/TwbgnXl4eNXer45ae2WIzlIT6qSnyt4EKE9lf4HULzeGir*V48duKWfaS4Jr--aEjlk64JsKFLs8DjgOmK-3P2XkSsacm1Ut/IMG20141022WA0005.jpg?width=650)
![](http://api.ning.com/files/TwbgnXl4eNXSJS6A0zGLDatjzqmSjHCeOXj0l-sDdBXLgrrDFyeWHmgOMcUDFl5BV2DPYXwDBftTduE96JCg7hCxT*NeMekw/IMG20141022WA0007.jpg?width=650)
Na Imelda mtema wa GPLUnyama! Dada wa kazi (hausigeli), aliyetajwa kwa jina moja la Rachel, mkazi wa Tabata-Shule jijini Dar, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuchukua kisu jikoni kisha kumchomachoma nacho mtoto, Samwel John (4) anayeishi nyumba ya jirani.
Akizungumzia mkasa huo kwa masikitiko makubwa uliojiri hivi karibuni maeneo hayo, baba mzazi wa mtoto huyo aliyejitambulisha kwa jina moja la John...
10 years ago
Vijimambo20 Jan
HABARI YA KUSIKITISHA NA KUTISHA KUHUSU VIJANA WETU WANAOKWENDA CHINA NA HONGKONG KUUZA MADAWA YA KULEVYA SOMA HABARI KAMILI LIVE!
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2593248/highRes/924352/-/maxw/600/-/idoqeo/-/nzowa.jpg)
10 years ago
Vijimambo15 Nov
MNAOPENDA KURUKA UKUTA SOMENI HII!
![](http://api.ning.com/files/E6-J*b1OZQMkoYK7xvLXY50Es7b*pQvecmX9VrgMi6-TgeFMBDCE4Zfxk5Q5mM6q4l4zZmC53jQ4F1KhSx0nontMBF9VNDru/article2278406178D8C0B000005DC31_634x998.jpg?width=650)
NI matumaini yangu wapenzi wa safu yetu maridhawa ya Love Story mko vizuri. Tunakutana tena katika maeneo yetu ya kujidai na kupeana mawili matatu yahusuyo mapenzi.
Raha ya mapenzi ni pale yanapofanyika kwa nafasi na usalama. Kila mmoja akaendelea kufurahia uhusiano kwa maana ameridhika katika njia ambayo ni salama kwa pande zote mbili.Ndugu zangu, penzi linanoga pale linapomhusisha mwanaume na mwanamke katika njia ambazo hazina madhara na si vinginevyo.
Ukitazama kichwa cha habari hapo juu,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/E6-J*b1OZQOmLnyj*18GBZiJMtZ9d29EQea6zE09InDKAK0LAxmjQN42Wn1EJPtOh7Torwq5zYiuMT9fSEnJs0td7VbGQxB3/mahaba.jpg?width=650)
MNAOPENDA KURUKA UKUTA SOMENI HII!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ETTd9*7yfBDQrqFni8Y4DgrQ*zEdZwSzdukE2Szs2vV9T1CC*FrEhBATMFbKl-LkvXfDoRrOQH0WPnms0jjGPSX2-R0saus4/BARUANZITO.jpg)
CHOKI, ASHA BARAKA, HEBU TULIENI, SOMENI HII BARUA!
10 years ago
Vijimambo19 Dec
Mtoto afanyiwa unyama na mama yake mzazi
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/mwaruanda-December19-2013.jpg)
Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita amefanyiwa visa vya kinyama na mama yake mzazi, ambaye anadaiwa kumjeruhi vibaya kwa kumchoma moto mikono yake na kisha kumfungia ndani kwa siku nne akiugulia majeraha bila kutibiwa wala kula chakula.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda, mama aliyefanya ukatili huo (jina linahifadhiwa) ni mkazi wa mtaa wa Eden, Manispaa ya Sumbawanga, mkoani hapa.
Inadaiwa mama huyo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LXZYmTRupZ8Wfnu9gCoZaunYnmxAJ2i5vQ70XZjAgji-v7AQoMSUCn8xMoaUpEWdxySPPqaRAwL-VnGvSLM8WegY6AOlnGag/HAUCGEL.jpg?width=650)
HAUSIGELI ASAKWA WIZI WA MTOTO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3pbaBKayUO9yFIqX1cNHor*6oiCVrdpYlHjZJGGnAx0qKstXxxMWxy9yd9dDYFsIhFL9ac4j4L*r115zNCJZEChltMCyEIpX/HAUSIGELIKIPIGO.jpg)
HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AOMBA SAMAHANI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aMLkUWs6eSMv-gPSdE*OcpF99uZMZITHxv87BQg8*82bsNjHf8c4tniat1C0fn-OIem5urX6XWFXT3eZNkyvek3R44o59KlT/Hausigeli.jpg?width=650)
HAUSIGELI AIBA MTOTO DAR, AKAMATWA MWANZA