Mutungi: Viongozi wa siasa watulizeni wafuasi wenu
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amewataka viongozi wa vyama kutoa maelekezo kwa wafuasi na wanachama wao kutoshiriki katika vitendo vya uvunjifu wa amani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboJAJI MUTUNGI - KUNA UMUHIMU KWA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA ZANZIBAR KUKUTANA
Msajili wa vyama vya siasa Tanzania Jaji Francis Mutungi, akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, nyumbani kwake Mbweni Zanzibar.
Na: Hassan Hamad, OMKR....
9 years ago
Michuzikuna umuhimu kwa viongozi wa vyama vya siasa Zanzibar kukutana - Jaji Mutungi
Msajili wa vyama vya siasa Tanzania Jaji Francis Mutungi, amesema kuna umuhimu kwa viongozi wa vyama vya siasa Zanzibar kukutana, ili kutatua mzozo wa kisiasa uliojitokeza.
Amesema Zanzibar ni nchi amani, hivyo hakuna haja ya kuruhusu migogoro ya aina hiyo ambayo inaweza kupelekea kuvurugika kwa amani na kuipotezea sifa Zanzibar katika jamii ya Kimataifa.
Jaji Mutungi akiambatana na baadhi ya wajumbe wa ofisi hiyo ya msajili pamoja na msajili wa vyama kwa upande wa...
10 years ago
Mtanzania09 Apr
Kova: Ole wenu wafuasi wa Gwajima
![Kamishna Suleiman Kova](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Suleiman-Kova-300x200.jpg)
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limetoa onyo kwa wafuasi wa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ambao leo wamepanga kumsindikiza kiongozi wao kwenda katika mahojiano na jeshi hilo.
Hatua ya wafuasi hao kutaka kumsindikiza kiongozi huyo, imekuja baaada ya kutangaziwa kujitokeza kwa wingi wakiwa katika kanisa hilo lilipo Kawe, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na...
10 years ago
Mwananchi07 Feb
Vyama vyote vya siasa ni sawa- Jaji Mutungi
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4MR1TqB8FFc/VLwP61taVgI/AAAAAAABN_o/L3qhU-mql78/s72-c/IMG_6957.jpg)
JAJI MUTUNGI AVIONYA VYAMA VYA SIASA VINAVYOENDEKEZA MIGOGORO
![](http://2.bp.blogspot.com/-4MR1TqB8FFc/VLwP61taVgI/AAAAAAABN_o/L3qhU-mql78/s1600/IMG_6957.jpg)
Athari za migogoro hii ni nyingi, ikiwemo chama cha kushindwa kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa, kupoteza mvuto kwa jamii na wanachama wake, ukosefu wa amani na utulivu ndani ya chama na kupoteza sifa za usajili.Hivi sasa mfumo wa demokrasi ya vyama vingi vya siasa una takribani miaka...
11 years ago
Mwananchi06 Jul
Mutungi awashukia viongozi wa vyama
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-62eN4c8yAnQ/UxclGtv9wpI/AAAAAAAFRN0/5x3g8jD86pw/s72-c/unnamed+(20).jpg)
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi atembelea bunge mjini Dodoma leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-62eN4c8yAnQ/UxclGtv9wpI/AAAAAAAFRN0/5x3g8jD86pw/s1600/unnamed+(20).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-l0tmibhN7XI/UxclMxImF6I/AAAAAAAFROM/QTQG3FMAQt4/s1600/unnamed+(17).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-samgjjW25y0/UxclL35G92I/AAAAAAAFRN8/KANmXcnW3Pg/s1600/unnamed+(18).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-dUa3JqCW2zA/UxclMbm35uI/AAAAAAAFROA/PSGzR57WE0c/s1600/unnamed+(19).jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-z0OezKvypDo/XvHtBrfRkzI/AAAAAAALvEI/Pc3WmTSdo4IqLwLaHwSIEidbVUES4bYfgCLcBGAsYHQ/s72-c/MAHAKAMA%2B2018.jpg)
VIONGOZI NA WAFUASI 27 WA CHADEMA KUKAMATWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-z0OezKvypDo/XvHtBrfRkzI/AAAAAAALvEI/Pc3WmTSdo4IqLwLaHwSIEidbVUES4bYfgCLcBGAsYHQ/s640/MAHAKAMA%2B2018.jpg)
Katika kesi hiyo, viongozi na wafuasi 27 wa Chadema wanakabiliwa na mashtaka saba likiwemo la kukaidi amri halali na kuharibu geti la gereza la Segerea.
Washitakiwa hao ambao hawajafika na kuamriwa kukamatwa ni Edga Adelin, Gerva Yenda, Regnald Masawe, Cesilia Michaeli na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-LFiLEDynMPQ/XnjDBgDwRzI/AAAAAAALk1E/WkTDakhburEfR0FX4MAUdz9SJAXG-BQeQCLcBGAsYHQ/s72-c/8c127ee9-eca5-4fce-9bc9-602304b41ced.jpg)
WAFUASI na viongozi 27 wa CHADEMA wamefikishwa kortini wakikabiliwa na mashtaka saba
WAFUASI na viongozi 27 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wamefikishwa Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka saba yakiwemo ya kutoa maneno ya maudhi kwa askari magereza na kuharibu geti la gereza la Segerea.
Hata hivyo ni washtakiwa 15 tu ndio wamesomewa mashtaka yao leo Machi 23,2020. Hata hivyo upande wa mashtaka umeomba hati ya wito kwa washtakiwa 12 ambao hawakuwepo leo mbele ya mahakama kujibu mashtaka yao ili...