KQ kuendelea na safari Afrika Magharibi
Kenya Airways imesema kuwa athari ya kuambukizwa homa ya Ebola kwa kuzuru Magharibi mwa Afrika sio kubwa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili16 Aug
KQ yavunja safari za Afrika Magharibi
5 years ago
MichuziKAMPUNI YA LIQUID TELECOM'S KUENDELEA KUZIUNGANISHA KIDIGITAL NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA ILI KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO
KAMPUNI ya Liquid Telecom's Afrika Mashariki imezihakikishia nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuendelea kufanya kazi zake kwa ukaribu na kawaida kupitia mgongo wake wa jumuiya ya nchi hizo katika mabadiliko yake ya kidigitali chini ya mwezi wa mmoja kutokana na janga la COVID- 19
Kwa mujibu wa kampuni imeeleza kuwa ndiyo inayoongoza katika mawasiliano na imewezesha wanachama wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kufanya kazi kwa ukaribu na kawaida licha ya...
10 years ago
Dewji Blog24 Sep
Shirika la ndege la Etihad Airways litaongeza safari zake barani Afrika kwa kuzindua safari mpya ya kila siku ya mji wa Dar es Salaam
Shirika la ndege la Etihad Airways (http://www.etihad.com) ni shirika la ndege la kitaifa la Umoja wa Falme za Kiarabu, ambalo linatarajia kuongeza safari zake barani Afrika kwa kuzindua safari mpya ya kila siku Mjini Dar es Salaam, mji mkubwa zaidi Tanzania.
Safari hizi za ndege kati ya Abu Dhabi na Dar es Salaam, zitaanza tarehe 1 mwezi Desemba 2015, zikiendeshwa kwa kutumia ndege ya Airbus A320 yenye viti 16 vya kitengo cha Biashara na 120 vya kitengo cha Uchumi.
Dar es Salaam itakuwa...
11 years ago
BBCSwahili04 Jul
Ebola kutokomezwa Afrika magharibi
11 years ago
BBCSwahili02 Aug
Emirates yakwepa Afrika Magharibi
11 years ago
BBCSwahili12 Aug
Ebola yatikisa Afrika Magharibi
10 years ago
MichuziAFRIKA KUSINI WATWAA UBINGWA WA SAFARI POOL AFRIKA 2014
10 years ago
Habarileo09 Oct
Watanzania 5 kutibu ebola Afrika Magharibi
MADAKTARI watano wa afya wamejitolea kwenda kutoa huduma katika baadhi ya nchi za Afrika Magharibi zilizoathiriwa na ugonjwa wa ebola. Wataalamu hao walioondoka jana, baadhi yao walizungumza na waandishi wa habari katika mkutano kati ya Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Donan Mmbando na vyombo vya habari.
10 years ago
GPLEBOLA BADO TISHIO AFRIKA MAGHARIBI