Kumbe! Mr Blue ni maarufu nchini Kenya kuliko Ali Kiba na Diamond
Mkali wa Hip Hop Bongo,Mr.Blue ametajwa kuwa ndiye msanii maarufu na anayependwa nchini Kenya ukilinganisha na mastaa maarufu wa hapa Bongo,Diamond Platinum na Ali Kiba.
Mdau wa muziki (burudani) kutoka nchini Kenya ambaye pia ni msanii aitwaye Gnex Lee Lennox amezungumza na Clouds Fm amesema kuwa Mr.Blue ametengeneza soko la muziki wake tangu zamani nchini humo tofauti za wasanii wengine wa Bongo.
Aidha ameongeza ngoma za Mr. Blue zimekuwa zikipigwa kwenye vituo vya redio pamoja na kwamba...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Yhnzwe_roIo/VaNMjXnQQHI/AAAAAAAHpP0/khTHknzd7ZQ/s72-c/unnamed%2B%252820%2529.jpg)
10 years ago
Mwananchi13 Jun
Ni mpambano wa Ali Kiba V Diamond
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lihD20i2jrxcqicIMKVQCrk2N7XnWhUUZeGzFxIZjpyMFzu6tJi1wwgvagmL61kMYmSpUZ4NVZlNGgeZwUSBpoS*X3RjHqoB/666o.jpg?width=650)
ALI KIBA ATANGAZA VITA NA DIAMOND!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mrjGDDFzeeF0zZeZGlSJHtOWY-SnzsI*8fW09fH5-*ZDgnKKuurQrzT8uXdvYKhtBHByo2bnh7Pije8ZlgjEtn498nQ0qZBl/alli.jpg)
ALI KIBA, DIAMOND WAFIKA PABAYA!
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Ali Kiba: ‘Kolabo’ na Diamond haitatokea
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ali Kiba, amesema haitakuja kutokea kufanya ‘kolabo’ na msanii wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ katika maisha yake. Kauli hiyo ya Ali...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Tkccsb*3vm4V1LFxO6Azmj*1uYwxcmJquNBTyIhtMSyWuynmnyJ7hNSn9qqvxvFyKA*PKRo7UTspZZkHU004ME*MeYHKkU2v/1213copy.jpg?width=650)
ALI KIBA VS DIAMOND WANAGOMBEA UFALME
10 years ago
Mwananchi07 Feb
Ali Kiba afunguka kuhusu bifu na Diamond