Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUMBE NYERERE ALISHITAKIWA KWA UCHOCHEZI

Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, Dar es Salaam Juni 9, 1958 katika kesi ya jinai namba 2207/58 mbele ya Hakimu L.A.Davis. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mwendesha mashitaka wa kesi hiyo alikuwa J.C.Summerfied na Mwalimu Nyerere alitetewa na mawakili watatu, D.N.Pritt aliyekuwa wakili kiongozi akisaidiwa na Wakili Mahamoud Rattansey na Wakili K.L.Jhavery....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mwenyekiti wa Kijiji matatani kwa uchochezi

MWENYEKITI wa Serikali ya Kijiji cha Karukekere wilayani Bunda, Mara, Jogoro Amoni amekamatwa na polisi kwa kile kinachodaiwa kuchochea ukabila katika kijiji hicho na kusababisha ugomvi uliojeruhi vijana watatu. Amri...

 

10 years ago

Vijimambo

KAFULILA MBARONI KWA TUHUMA ZA UCHOCHEZI

Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila---JESHI la Polisi linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila kwa tuhuma za uchochezi, akiwataka wananchi wasichangie ujenzi wa maabara katika shule za sekondari nchini.

Kafulila alikamatwa mapema jana asubuhi katika mji mdogo wa Nguruka wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma, ambako alikuwa akifanya mikutano ya hadhara, kuelezea sakata la uchotwaji wa fedha katika akaunti ya Escrow na kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti wa ‘JKT’ akamatwa kwa tuhuma za uchochezi

>Mwenyekiti wa Wahitimu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), George Mgoba ambaye alilazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) baada ya kutekwa na kuteswa na watu wasiojulikana, ameruhusiwa jana kisha kukamatwa na Polisi akituhumiwa kwa makosa ya uchochezi na mikusanyiko isiyo halali.

 

10 years ago

GPL

WALIONASWA KWA MAPENZI YA JINSIA MOJA KUMBE WALIOANA

Na Haruni Sanchawa/Uwazi SAKATA la wasichana wawili warembo, Maua Sadick (24) mkazi wa Stakishari, Ukonga, Dar es Salaam na Lucy Fred (23) mkazi wa Karakata, Dar ambao walishikiliwa katika Kituo cha Polisi Stakishari, Ukonga jijini kwa madai ya kufanya mapenzi ya jinsia moja limechukua sura mpya. Habari za kipolisi zinasema wasichana hao ambao walifunguliwa jalada kituoni hapo namba SKT/RB/463/2015 baada ya kukamatwa Januari 12,...

 

11 years ago

GPL

Haaa! Kumbe Dida, Kaseja, mambo kwa zamu

Juma Kaseja.  Na Khadija Mngwai
IMEBAINIKA kuwa, kumbe Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, amempangia mechi za kudaka kipa wa timu hiyo, Juma Kaseja, ambapo atapokezana na wenzake kwa kila mmoja kupewa mechi tatu huku yeye akiwa wa mwisho katika orodha hiyo.…

 

11 years ago

GPL

KUMBE MADENTI WENGINE ‘WANAJILENGESHA’ KWA MATICHA

KWA takribani wiki tatu sasa tumekuwa tukijadili kuhusu tabia ya baadhi ya walimu kujihusisha kimapenzi na wanafunzi, hasa wa kiume. Nashukuru kwamba nimepata mrejesho mzuri kutoka kwenu. Lakini kuna mwalimu mmoja msomaji mzuri wa safu hii, yeye ni msichana anayefanya kazi mikoani. Alinitumia ujumbe mmoja ambao ulinivutia sana, nikabadilishana naye maneno mawili matatu na kujikuta nimepata kitu ambacho ni lazima tushirikiane pia...

 

5 years ago

Michuzi

DAWA YA CORONA KUMBE ALIKUWA NAYO RAIS MAGUFULI...AHSANTE KWA KUTUPONYA WATANZANIA

Na Said Mwishehe,Michuzi TV

RAIS Dk.John Magufuli naomba nianze kwa kukusalimia mzee wangu.Shikamoo,natumai unaendelea vema na jukumu la  kuwatumikia Watanzania na hasa ya kuleta maendeleo yao.

Baada ya salamu iliyoambatana na unyenyekevu mkubwa kwako naomba sasa nieleze jambo japo kidogo tu.Ndio kuna kitu nataka kueleza na linahusu janga la virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid- 19.

Kama mnavyofahamu ugonjwa huo bado umeendelea kuwa tishio duniani kote.Mataifa madogo na makubwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tumemuacha Mwigulu afanye uchochezi!

MAANDIKO matakatifu ya Biblia, Luka 17:1- yanasema kuwa; Makwazo hayana budi kuja lakini ole wake mtu anayesababisha makwazo hayo, kwani anastahili kufungiwa jiwe la kusagia shingoni na kutoswa baharini. Naibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani