KUMBUKUMBU YA MWALIMU JOHN CHARLES KAYUZA
![](http://1.bp.blogspot.com/-8CNF0gtb3Ag/Vl6WN_7ugxI/AAAAAAAIJqQ/GGkJqrQl0zg/s72-c/New%2BPicture.png)
Mwalimu JOHN CHARLES KAYUZA (02/ 12/ 2010 – 02/ 12/ 2015)Leo Baba umetimiza miaka 5 tangu ulipoitwa na Bwana tarehe 02/ 12/ 2010 saa 12 asubuhi.Baba tunakukumbuka sana kwa upendo wako, Hekima zako, busara zako na ulikuwa ni mshauri mzuri katika familia.
Unakumbukwa sana na mkeo mpendwa Edna, watoto wako wapendwa Josephine, Masauko, Hellen na Lwanda, mkweo Japhet Mwaisupule na wajukuu zako Gave na kippy.
Unakumbukwa sana na Kaka yako Mathew Kayuza, Mdogo wako Joseph Kayuza, Binamu yako Jaji...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili14 Oct
Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere
10 years ago
Michuzi14 Oct
10 years ago
Dewji Blog15 Oct
VIDEO: Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Magavilla
HAVE A REFLECTIVE NYERERE DAY! Twitter @cmagavilla
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-iz3tFjjXnpU/VUdlKYVcCNI/AAAAAAAHVKw/-oL36f3D0uY/s72-c/rt.png)
KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MWALIMU NOVATI SIMEON RUTAGERUKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-iz3tFjjXnpU/VUdlKYVcCNI/AAAAAAAHVKw/-oL36f3D0uY/s400/rt.png)
TAREHE 5 - MEI - 2015, UMETIMIZA MIAKA MITANO TANGU MWENYEZI MUNGU ALIPOKUTWAA TOKA HAPA DUNIANI. PAMOJA NA KWAMBA KIMWILI HAUPO NASI, KIROHO TUNAKUKUMBUKA DAIMA.
UNAKUMBUKWA DAIMA NA WATOTO WAKO FLORIDA, ILLUMINATA, LIBERATA, DUNSTAN, JOYCE NA EDWIN PAMOJA NA WAKWE, WAJUKUU, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI.
IBADA YA MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MWALIMU RUTAGERUKA ITAADHIMISHWA SIKU YA JUMANNE TAREHE 5 - MEI - 2015, KATIKA KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH, DAR-ES-SALAAM, SAA 11.30 JIONI.
BWANA ALITOA,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZlBJL*XyKT2eNyXXafxvHX1r5JG3q22VOsK0qDEu4VKRjw32eJuH8-HWOOzBbJJcE7ysXxOH3ZZ8euDa0tR3H*L8IN4ZfTzN/NYERERE.jpg?width=650)
KUMBUKUMBU YA MIAKA 15 TANGU KIFO CHA MWALIMU NYERERE
10 years ago
BBCSwahili30 Jul
Sudan Kusini :Kumbukumbu ya John Garang
10 years ago
GPLKUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWALIMU NYERERE YAZINDULIWA JIJINI DAR
9 years ago
Vijimambo14 Oct
LEO NI MIAKA 16 YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWALIMU JULIUS NYERERE
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2912672/highRes/1147061/-/maxw/600/-/l336uv/-/Nyerere.jpg)
By Pius Msekwa
Ni dhahiri kwamba Mwalimu Nyerere anakumbukwa kwa mambo mengi ya msingi aliyoyapa kipaumbele wakati wa uongozi wake. Jambo mojawapo alilisema Julai 29 Julai, 1985, kwamba: “Kazi iliyokuwa muhimu kuliko zote kwangu mimi, ilikuwa ni kujenga Taifa lenye umoja kwa msingi wa heshima na usawa wa binadamu”.
Lakini yapo mambo mengine mengi ya uongozi wake ambayo...
10 years ago
Vijimambo14 Oct