Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kumekucha sasa Simba

>Wakati Kamati ya Uchaguzi ya Simba ikifungua kuanza kwa kampeni leo, wanachama 66 wa klabu hiyo wakiongozwa na wakili Revocatus  Kuuli wamefungua kesi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kuomba kusimamishwa mchakato wa uchaguzi huo utakaofanyika Juni 29.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Kumekucha Tena Tuzo Kubwa za Nyuka Zipo Tayari Sasa!

TUZO kubwa zijulikanazo kwa jina la NYUKA FILM AWARDS zipo tayari kwa ajili ya kutolewa kwa wanatasnia ya filamu Swahilihood hivi karibuni mwezi huu wa saba mwisho, ni tuzo zilizolenga kutambua mchango wa filamu zinazotumia Lugha ya Kiswahili katika kukitangaza na kuunganisha mataifa.

Filamu iliyorekodiwa na kutumia Lugha ya Kiswahili inahusika kushirika na kuchukua tuzo zilizoandaliwa zaidi ya miaka mitatu kuanzia kufanya utafiti katika kujenga tuzo zenye hadhi na heshima Barani Afrika,...

 

11 years ago

Mwananchi

LIGI KUU BARA: Kumekucha Simba, Yanga, Azam vitani leo

>Miamba ya soka nchini, Yanga na Simba baada ya kushindwa kutambiana wiki iliyopita leo itasaka ushindi wa ugenini dhidi ya Stand United na Prisons huku mabingwa watetezi Azam wakiwa nyumbani kuwavaa JKT Ruvu.

 

11 years ago

Michuzi

Mtanange wa Simba na JKT Ruvu Uwanja wa Taifa hivi sasa: Simba washalala kwa bao 2 - 0

Mchezaji wa Timu ya JKT Ruvu,Emmanuel Switta akimpeleka markiti Golikipa wa timu ya Simba, Yaw Berko kwa mkwaju mkali wa Penati na kuiandikia timu yake bao la pili katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara,unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.hadi mapumziko Simba wamelala kwa Bao 2 - 0.kipindi cha pili kimeanza hivi punde na tutaendelea kujuzana kinachojili.
Wachezaji wa timu ya JKT Ruvu wakishangilia mara baada ya kuitandika Simba bao la pili.

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA MAXIMO, SASA PHILI SIMBA OUT NA HUYU NDIYO MRITHI WA WAKE NAE SIJUI ATADUMU SIMBA NA YANGA NI SHIDA

Kocha Patrick Phiri amesema ametaarifiwa kuhusiana na kibarua chake kusitishwa.
Phiri raia wa Zambia amesema ni suala la kawaida kumtokea kocha, hivyo hana kinyongo na uongozi wa klabu hiyo.
"Wamenitaarifu kuhusiana na kuachishwa kazi, hili si jambo jipya, ingawa niliona tungeweza kubadilisha mambo.
"Najua Simba wanataka kufanya vizuri, hivyo siwezi kumlaumu mtu na utaona mwendo wa timu yetu ulivyokuwa," alisema Phiri.
Phiri amesema anasubiri kiasi cha fedha alichokuwa anadai ambacho hakueleza...

 

11 years ago

Mwananchi

Simba sasa yaingia mchecheto

>Uongozi wa Simba umeanza kuweweseka kutokana na kuchelewa kurudi kwa nyota wake waliokuwa wakiitumikia timu za taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Takukuru sasa yatinga Simba

>Usaili wa wagombea uongozi wa Simba, ulichukua sura mpya baada ya jana maofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kuchukua vyeti vyote vya wagombea na barua tatu za Michael Wambura  alizokuwa ameziwasilisha katika Kamati ya Uchaguzi wa klabu hiyo kama vielelezo.

 

11 years ago

Mwananchi

Hatima ya Wambura Simba sasa Agosti 3

Rais  wa Simba, Evans Aveva alisema jana kuwa wanachama waliofungua kesi mahakamani kupinga uchaguzi  uliofanyika Jumapili wamevunja katiba ya klabu hiyo ibara ya 28 inayokataza masuala ya klabu hiyo kupelekwa mahakamani.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbeya City sasa yaipania Simba

Timu ya Mbeya City imesahau yaliyopita ya kufungwa na Yanga mabao 3-1 na sasa nguvu na akili zao zipo kwenye mechi yao ya kesho dhidi ya Simba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Simba Ukawa’ sasa wamponza Idd Pazi

TIMU ya Simba juzi usiku iliondoka nchini kwenda Afrika Kusini kwa kambi kuelekea mechi dhidi ya Yanga, itakayopigwa Oktoba 18 Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam huku Kocha wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani