Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUMRADHI WASOMAJI WETU

Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu hatutaweza kuendelea kuwawekea hadithi za Shigongo katika tovuti yenu ya Global Publishers na badala yake hadithi hizo zitakuwa zikipatikana katika magazeti ya kila siku ya Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi na Ijumaa Wikienda. Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza katika kipindi hiki hadi hapo baadaye tutakapoweza kuendelea na utaratibu huo.
Wenu, Webmaster,… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Kumradhi Rais Kikwete

KATIKA machapisho ya gazeti hili, toleo namba 3554 la Agosti 27, 2014 na toleo namba 3555 la Agosti 28, 2014 tulikuwa na habari zenye vichwa: Kikwete anywea na Kikwete ‘alamba...

 

10 years ago

Mtanzania

KUMRADHI WEMA SEPETU

wema4Katika gazeti letu la Mtanzania toleo No. 7709 la Alhamisi Januari 22, mwaka huu, tuliandika kimakosa stori yenye kichwa cha habari ‘Wema Sepetu ampeleka Diamond Polisi’. Baada ya kufanya uchunguzi tumejiridhisha habari ile haikuwa na ukweli, kwani chanzo kilichotupatia kilitupotosha, hivyo kuleta usumbufu kwa msanii Wema pamoja na jamii. Kutokana na hali hiyo, tunapenda kumwomba radhi Wema na familia yake. Siku zote sisi MTANZANIA tumekuwa makini katika kusimamia misingi ya habari za weledi...

 

10 years ago

Vijimambo

Mishumaa ya Kale ....Kumradhi

Kwa wale wadau wote wa MISHUMAA YA KALE, tunaomba radhi kwa kukosekana kwa kipindi hapo jana.
Ilitokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu
Lakini tuna imani kuwa Ijumaa hii mambo yatakaa sawa nasi kukuletea kipindi hicho.
Kama ulikosa kipindi chochote kilichopita, BOFYA HAPA.
Kwa kipindi cha wiki iliyopita, sikiliza hapa chini

 

10 years ago

Michuzi

Kumradhi kutoka Eddy Blog

kutokana na matatizo ya kiufundi tunaomba radhi kwa blog yako ya EDDY BLOG kutokuwa hewani kwa wiki kadhaa hii ilitokana na matengenezo yaliyokuwa yakifanywa. tunaomba radhi kwa usumbufu mlioupata lakini kwa sasa mambo yamekalilika itembelee kila saa kwa habari motomoto kwa kubonyeza http://eddymoblaze.blogspot.com/ asante kwa ushirikiano.

 

11 years ago

Mwananchi

Kumradhi Prof Anna Tibaijuka

Katika toleo la Alhamisi Januari 9, 2014 gazeti hili lilichapisha habari kuhusu matokeo ya ziara ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka katika Shamba la Mpunga la Kapunga, wilayani Mbarali mkoani Mbeya.

 

10 years ago

Vijimambo

Gazeti la Mtanzania: Kumradhi Wema Sepetu

“Katika gazeti letu la Mtanzania toleo No. 7709 la Alhamisi Januari 22, mwaka huu, tuliandika kimakosa stori yenye kichwa cha habari ‘Wema Sepetu ampeleka Diamond Polisi’. Baada ya kufanya uchunguzi tumejiridhisha habari ile haikuwa na ukweli, kwani chanzo kilichotupatia kilitupotosha, hivyo kuleta usumbufu kwa msanii Wema pamoja na jamii. Kutokana na hali hiyo, tunapenda kumwomba radhi Wema na familia yake. Siku zote sisi MTANZANIA tumekuwa makini katika kusimamia misingi ya habari za...

 

10 years ago

Bongo Movies

Gazeti la Mtazania:Kumradhi Wema Sepetu

“Katika gazeti letu la Mtanzania toleo No. 7709 la Alhamisi Januari 22, mwaka huu, tuliandika kimakosa stori yenye kichwa cha habari ‘Wema Sepetu ampeleka Diamond Polisi’. Baada ya kufanya uchunguzi tumejiridhisha habari ile haikuwa na ukweli, kwani chanzo kilichotupatia kilitupotosha, hivyo kuleta usumbufu kwa msanii Wema pamoja na jamii. Kutokana na hali hiyo, tunapenda kumwomba radhi Wema na familia yake. Siku zote sisi MTANZANIA tumekuwa makini katika kusimamia misingi ya habari za...

 

11 years ago

GPL

KUMRADHI: SALUM KASSIM YUPO HAI

Salum Kassim yupo hai. Tunaomba radhi kwa  kuchanganya habari za kifo cha mtoto aliyevunjwa mguu ambaye tulimuandika katika Gazeti la Risasi la leo Julai 12, 2014 na badala yake tumetangaza kuwa aliyefariki ni  mtoto Salum Kassim. Huyo mtoto yupo hai na tunasikitika sana kwa kujichanganya huko. Tunaomba radhi pia kwa wazazi wa Salum na tupo pamoja katika kuhakikisha anapatiwa tiba katika harambee zetu. Tunaomba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani