Kumradhi kutoka Eddy Blog
kutokana na matatizo ya kiufundi tunaomba radhi kwa blog yako ya EDDY BLOG kutokuwa hewani kwa wiki kadhaa hii ilitokana na matengenezo yaliyokuwa yakifanywa. tunaomba radhi kwa usumbufu mlioupata lakini kwa sasa mambo yamekalilika itembelee kila saa kwa habari motomoto kwa kubonyeza http://eddymoblaze.blogspot.com/ asante kwa ushirikiano.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi13 Dec
TAARIFA MUHIMU KUTOKA MJENWA BLOG
Ndugu zangu,Kutokana na sababu za kiufundi zikiwamo za marekebisho muhimu, blogu yako ya kijamii, Mjengwablog.com haiko hewani kuanzia jana jioni.
Wataalam wanalishughuIikia swala hilo na Mjengwablog itarudi tena hewani kabla ya saa sita mchana kwa saa za Afrika Mashariki.
Hata hivyo, KwanzaJamii Radio iko hewani kama kawaida, sikiliza live...http://www.ustream.tv/channel/kwanzajamii-radio
Poleni kwa usumbufu.
Maggid Mjengwa,Mwenyekiti MtendajiIkoloMediaIringa.
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
‘Kutoka Soko la Kariakoo’ kurushwa Mjengwa Blog
KIPINDI cha ‘Kutoka Soko la Kariakoo’ kimezindulia na mtandao wa kijamii wa Mjengwa Blog ambacho kitakuwa kikirushwa na Redio Kwanza Jamii. Akizungumza na Tanzania Daima Dar es Salaam jana Mkurugenzi...
10 years ago
Dewji Blog13 Aug
Salamu maalum za shukurani kutoka Mbeya Yetu Blog
Hili ndilo Banda la Mbeya yetu Blog lililokuwa ndani ya Maonesho ya Nane nane Mbeya.
Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu Blog na Mmoja wa wakurugenzi wa Tone Multimedia Company Limited Joseph Mwaisango kulia Akikabidhiwa Cheti cha ushindi wa tatu cha vyombo vya habari kikanda katika kurusha matukio yote ya Nane nane Jijini Mbeya na Mgeni Rasmi wa Maadhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh. Rajabu Mwambungu wa Pili...
9 years ago
Vijimambo10 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Kumradhi Rais Kikwete
KATIKA machapisho ya gazeti hili, toleo namba 3554 la Agosti 27, 2014 na toleo namba 3555 la Agosti 28, 2014 tulikuwa na habari zenye vichwa: Kikwete anywea na Kikwete ‘alamba...
10 years ago
Mtanzania27 Jan
KUMRADHI WEMA SEPETU
Katika gazeti letu la Mtanzania toleo No. 7709 la Alhamisi Januari 22, mwaka huu, tuliandika kimakosa stori yenye kichwa cha habari ‘Wema Sepetu ampeleka Diamond Polisi’. Baada ya kufanya uchunguzi tumejiridhisha habari ile haikuwa na ukweli, kwani chanzo kilichotupatia kilitupotosha, hivyo kuleta usumbufu kwa msanii Wema pamoja na jamii. Kutokana na hali hiyo, tunapenda kumwomba radhi Wema na familia yake. Siku zote sisi MTANZANIA tumekuwa makini katika kusimamia misingi ya habari za weledi...
10 years ago
GPLKUMRADHI WASOMAJI WETU
10 years ago
VijimamboMishumaa ya Kale ....Kumradhi
Ilitokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu
Lakini tuna imani kuwa Ijumaa hii mambo yatakaa sawa nasi kukuletea kipindi hicho.
Kama ulikosa kipindi chochote kilichopita, BOFYA HAPA.
Kwa kipindi cha wiki iliyopita, sikiliza hapa chini
11 years ago
Mwananchi19 Jan
Kumradhi Prof Anna Tibaijuka