Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUONGEA MAMBO YA SIRI KWENYE SIMU KWA SAUTI YA JUU!

SITAKI kupindisha maneno katika hili, maana linakera kupitiliza. Kuna hawa watu sijui ni mazoea, kupenda sifa au malezi ya hovyo. Yaani unakuta jitu zima, mdomo umezungukwa na mandevu mengi lakini halina ustaarabu hata kidogo. Jamaa hilo, bila kujua wala kujali utulivu wa watu walio karibu, unakuta linazungumza kwa simu kwa sauti  juu kabisa, mambo yenyewe linayozungumzia ni ya ndani na siri ambayo kwa busara na hekima ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

NHC ILIVYOIBEBA JUU KWA JUU ILANI YA UCHAGUZI YA CCM KWENYE SEKTA YA NYUMBA

Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Maulid BanyaniNyumba za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Iyumbu mkoani Dodoma.

NA MWANDISHI MAALUM
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) ni moja ya mashirika ambayo ni nguzo ya Serikali ya Awamu ya Tano katika uteketezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inayoliongoza taifa kuelekea kwenye uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.

Mwandishi maalum ambaye amekuwa akimulika mwenendo wa utendaji wa taasisi na mashirika ya umma, amefanya...

 

10 years ago

Mtanzania

Guardiola ampigia simu Messi kwa Siri, amshauri asiondoke Barcelona

Lionel_Messi_2205072bPEP Guardola amemshauri mshambuliaji Lionel Messi kubakia Barcelona akimtaka nyota huyo wa Argentina kuwa mtulivu na kuonyesha imani kwa mipango ya kocha wake wa sasa, Luis Enrique.
Wiki iliyopita mchezaji huyo aliyewahi kunyakua tuzo ya mchezaji bora wa mwaka mara nne, aliweka wazi kuwa huenda akaondoka Camp Nou baada ya kukiri kuwa hajui atakuwa wapi msimu ujao.
Mabingwa wa Ligi Kuu England, Manchester City wamekuwa wakihusishwa na mpango wa kumwaga fedha ili kumnasa mchezaji huyo,...

 

9 years ago

MillardAyo

Mambo ni rahisi zaidi.. utaweza kupima chakula kwa simu yako kabla ya kula, hapo vipi?.. (+Video)

Tunasema asante kwa teknolojia kila siku kwa sababu ya vitu vizuri ambavyo tunakutana navyo vikikufikia na kurahisisha mambo mengi kwa sababu tu wataalam wamekaa na wamebuni kitu kizuri !! Unaambiwa ni suala la kukaa tayari wakati wowote kuanzia sasa tutakuwa na simu zenye uwezo wa kufanya scanning chakula na kutoa majibu kwamba kwenye chakula kuna […]

The post Mambo ni rahisi zaidi.. utaweza kupima chakula kwa simu yako kabla ya kula, hapo vipi?.. (+Video) appeared first on...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Bongo5

Beyonce na Jay Z washtakiwa na mwimbaji wa Hungary kwa kudaiwa kutumia sauti yake bila idhini kwenye ‘Drunk In Love’

Mwimbaji wa Hungary amewashtaki Jay Z, Beyonce na Timberland kwa madai ya kutumia sauti yake kwenye wimbo wa ‘Drunk In Love’ bila idhini yake. Kwa mujibu wa TMZ, mwimbaji huyo wa kike aitwaye Monika Miczura Juhasz a.k.a Mitsou, amedai kuwa mastaa hao wali-sample wimbo wake uliorekodiwa mwaka 1995 uitwao “Bajba, Bajba Pelem.” Mitsou amedai kulipwa […]

 

10 years ago

GPL

OBASANJO AVUTIA WENGI KWA KUJIPIGA PICHA KWENYE SIMU YAKE

Rais wa zamani wa Nigeria Olusegun Obasanjo akijipiga picha.
RAIS wa zamani wa Nigeria, Olusegun Obasanjo, amekuwa akiwavutia wananchi wenzake kwa kujipiga picha akitumia simu yake ambayo inatumia mfumo wa ‘android’.  Obasanjo amekuwa akimwagiwa sifa kibao kutokana na kwamba yeye ndiye aliyeruhusu kuingia kwa simu za mkononi wakati akiwa madarakani, jambo ambalo limerahisisha  shughuli za watu wengi nchini...

 

9 years ago

Mwananchi

Siri ya CCM, Ukawa Nyanda za Juu Kusini

Mikoa ya Rukwa, Katavi, Iringa, Mbeya na Njombe imekuwa kimbilio la Taifa wakati wa njaa, lakini wanasiasa wana sababu nyingine ya kuwahishia kampeni zao Nyanda za Juu Kusini ambako kuna kura takriban milioni 3.92.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani