Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUTANA NA KASA ALIYEITABIRIA BRAZIL KUIFUNGA CROATIA KESHO

Kasa aitwaye Big Head akitabiri mechi ya kesho ya ufunguzi kati ya Brazil na Croatia. BAADA ya pweza Paul aliyekuwa akiishi Ujerumani kujizolea umaarufu wakati wa Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2010 nchini Afrika Kusini, fainali za mwaka huu nchini Brazil ameibuka mtabiri mwingine aitwaye Cabeção au Big Head. Big Head ambaye ni kasa mwenye umri wa miaka 25, anayeishi katika kijiji cha Praia Do Forte nchini Brazil...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Brazil yaibana Croatia 3-1

Wenyeji wa kombe la dunia walifungua kampeini yao ya kuwania taji lao la sita la kombe la dunia kwa kuilaza croatia mabao 3-1

 

11 years ago

GPL

BRAZIL VS CROATIA: HAKUNA KULALA LEO

Rio de Janeiro, Brazil
WENYEJI Brazil leo Alhamisi watakuwa na kibarua pevu cha kuhakikisha wanaanza vyema michuano ya Kombe la Dunia ambapo wanatarajiwa kufungua pazia kwa kumenyana na timu ya taifa ya Croatia kwenye  Uwanja wa Rio de Janeiro mjini hapa. Ikumbukwe kuwa Croatia inayonolewa na Niko Kovač, haijawahi kuifunga Brazil zaidi ya kuambulia sare na vipigo hivyo leo inatarajiwa kuwa mechi ya kukata na shoka...

 

11 years ago

TheCitizen

BRAZIL 2014: Croatia defender rails against penalty, says ref shouldn't be at #WorldCup

Unfancied Croatia took a shock lead when Marcelo put the ball into his own net early in the Group A match before Neymar levelled in front of a jubilant crowd in the Corinthians Arena.

 

11 years ago

Michuzi

kombe la dunia laanza kwa brazil kuichapa croatia 3-1 katika mchezo unaolalamikiwa kuwa wenyeji wamebebwa na refa

Wenyeji Brazil  wameanza michuano ya Kombe la Dunia kwa ushindi finyu wa mabao 3-1 dhidi ya Croatia usiku wa kuamkia leo  wa jijini Sao Paulo, na kuponea chupuchupu kutoka sare katoka mchezo ulioanza kwa mabingwa hao mara tano kujikuta nyuma kwa goli moja la kujifunga wenyewe mwanzoni mwa kipindi cha kwanza.  Nyota wa Brazil Neymar analalamikiwa kubebwa na refa Yuichi Nishimura kutoka Japana baada ya kuambulia kadi ya njano (badala ya nyekundu)  kwa kumpiga kwa makusudi kipepsi mlinzi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Brazil kuivaa Ufaransa hapo kesho

Timu ya Taifa ya Brazil itapepetana na Ufaransa katika mchezo wa kirafiki kwa mujibu wa kalenda ya Fifa.

 

10 years ago

Habarileo

Uvuvi wa kasa wapigwa marufuku

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdilahi Jihadi HassanSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema ni marufuku kwa wavuvi kuvua samaki aina ya kasa katika eneo la bahari ya Zanzibar ambapo viumbe hao wapo katika hatari ya kutoweka duniani.

 

9 years ago

Mwananchi

NINAPODADAVUA :Kobe, kasa, mijusi wote wamo katika msafara wa mamba

Leo nataka kukumbusha kidonda: Kadhia ya Dk Willibrod Slaa na kujiuzulu nafasi ya Katibu Mkuu, Chadema. Ni jambo ambalo wengi wanaliona kuwa lishapita, kweli limepita, lakini kutafakari mambo yapitayo kwa kina ni muhimu kwa sababu ndani yake huwa tunapata mafunzo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani