Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUTOKA MAKTABA: WANGAPI MNAIKUMBUKA HII?


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Kutoka Maktaba: Magufuli - (2005) tutasafiri kutoka Mtwara hadi Bukoba kwenye barabara ya lami

WANANCHI wataweza kusafiri kutoka Mtwara hadi Bukoba kwenye barabara ya lami,hayo yalisemwa Bungeni Mjini Dodoma wakati Waziri wa Ujenzi John Magufuli alipokua akijibu swali la Martha Mlata (Viti Maalum-CCM), swali lililohoji juu ya ahadi ya Serikali katika kipindi cha awamu ya nne na ahadi hiyo iliyosema wananchi wataweza kusafiri kwa taxi toka Mtwara hadi Bukoba.
Waziri Magufuli alisema kuwa nia ya msemo huo ni kuonesha kwamba wananchi wataweza kusafiri toka Mtwara hadi Bukoba kwa lami...

 

9 years ago

Michuzi

KUTOKA MAKTABA YA GLOBU YA JAMII

 Abiria wa Treni ya Reli ya kati inayofanya safari zake kati ya Dar es salaam kwenda Kigoma, wakimuangalia mmoja wa abiria mwenzao akiwa nje ya Treni hiyo wakati ikiendelea na safari, kwa madai ya kumkwepa mkaguzi wa tiketi (TT) wa Treni hiyo.Hii ilikuwa ni mwanzoni mwa mwaka 2013.

 

10 years ago

Michuzi

kutoka maktaba: Underline a.k.a Sunderland SC enzi hizo....

Naam Underline hao! ( a.k.a Sunderland Sports Club.) Kisukari  ,Durban, Kimimbi, Emmanuel 'Full-up'Arthur Mambeta,Gilbert Mahinya, Ali Kajo, Kibunzi VC10/auYussuf Salum Maleta. Waliochuchumaa Hatibu ,Kilomoni,Choteka,Mbaraka Salum Magembe, Liston na Haji Lesso.  

 

10 years ago

Michuzi

KUTOKA MAKTABA: TASWIRA YA KIHISTORIA YA GLOBU YA JAMII...

Kutoka kushoto ni: Lwitiko Mwakilasa, Bernard Kakengi, Mapinduzi Mwankemwa, Mzee Kimaro wa JWTZ, Victor Gunze wa TBC, Raymond Mutafungwa. Rupia Lyabandi, Dennis Londo, Ankal Muhidin Issa Michuzi, Fidelis Tungaraza "Mti Mkubwa", Ndesanjo Macha, Magonera Malima na Kisakisa Kiwala.

Taswira hii ni ya Septemba 10, 2005 katika kiota cha maraha kinachopendwa sana na Wabongo cha Chelsea hapo jijini Helsinki Finland. Tukio ni mkusanyiko wa wadau kusherehekea kuanzishwa rasmi kwa Globu ya Jamii...

 

11 years ago

Michuzi

KUTOKA MAKTABA: ANKAL, LIONGO, NGAHYOMA NA RAZA

Mwaka 1997: Ankal (enzi hizo akiwa Daily News) na wenzie Aboubakar Liongo (enzi hizo akiwa RTD) Marehemu John Ngahyoma (akiwa The Express) na Mhe. Mohamed Raza, enzi hizo akiwa mfadhili wa michezo, alipowakaribisha nyumbani kwake mjini Zanzibar.

 

10 years ago

Michuzi

KUTOKA MAKTABA: ANKAL NA WANAHABARI NGULI NCHINI

Ankal akiwa na sehemu ya wanahabari nguli nchini katika hafla ya michezo ya wanahabari katika viwanja wa Leaders Club jijini Dar es salaam. Kutoka kushoto ni Haji Sunday Manara, Angetile Osiah, Samson Mfalila, Ankal, Aboubakar Liongo, Edo Kumwembe na Rashidi Kejo

 

11 years ago

Michuzi

kutoka maktaba: usafiri mkuu enzi hizo

Sidhani kama vijana wa umri chini ya miaka 37 watajua hili, ila kwa wenye umri zaidi ya huo watakumbuka mabasi ya East African Railways maarufu kama mabasi ya 'Relwe' ndiyo yaliyokuwa kinara wa usafiri ini na Afrika Mashariki ya Kenya, Uganda na Tanzania kabla ya kuvunjika  kwa jumuiya hiyo mara ya kwanza mwaka 1977. Kabla ya hapo nchi hizo zilikuwa na shirika moja la ndege, meli, usafiri wa barabara na reli.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani