KUTOKA ZANZIBAR: Ni nani atawatosa wasakatonge 2015?
>Ifikapo mwaka 2015 hamasa za kisiasa kwa upande wa Zanzibar zitakuwa katika kiwango cha juu huku ikitegemewa kutokea kwa mabadiliko ya uamuzi miongoni mwa wapigakura, hususan vijana ambao wengi wao wamezaliwa baada ya Mapinduzi ya mwaka 1964.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi30 Apr
KUTOKA ZANZIBAR: Nani kawaroga vijana wetu wanaoshiriki siasa?
>Mazingira yamebadilika na hadhira ya kisiasa imechukua mwelekeo mpya kisiwani Zanzibar.
11 years ago
Mwananchi04 Jun
KUTOKA ZANZIBAR: Yako wapi mapato ya Zanzibar katika Muungano?
>Tumesikia matamshi ya mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia CCM, Ally Mohammed Keissy alipochangia bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akisema Zanzibar haichangii katika Muungano, hivyo haina haki ya kuhoji mambo ya upande wa pili.
11 years ago
Mwananchi03 Jun
Uhakiki wa Diwani ya Wasakatonge
Diwani ya Wasakatonge ni miongoni mwa diwani zilizochapishwa mwanzoni mwa karne ya ishirini na moja zikionesha changamoto mbalimbali zilizopo katika jamii yetu. Mwandishi wake ni mtunzi mahiri Mohammed S Khatibu.
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Uhakiki diwani ya Wasakatonge
Tunaendelea kuangalia dhamira mbalimbali zinazopatikana katika diwani hii ya mwandishi Seif Mohammed Khatib
10 years ago
BBCSwahili11 Nov
Nani mwenyeji CAF 2015?
Hatma ya nani atakuwa mwenyeji wa kombe la mataifa ya Africa 2015 maarufu kama Africa Cup of Nations lazima ajulikane,
9 years ago
Mzalendo Zanzibar21 Oct
Ujumbe kutoka kwa Wasanii wetu — Nani umpigie kura?
The post Ujumbe kutoka kwa Wasanii wetu – Nani umpigie kura? appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi18 Mar
Nani wa kuiwakilisha Ukawa urais 2015?
Ni takriban miezi minne sasa tangu vyama vinne vya upinzani nchini kupitia ushirikiano wao walioupa jina la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kusaini makubaliano ya kushirikiana pamoja na kusimamisha mgombea mmoja katika chaguzi zote zijazo.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-wHUbNHuNkCs/VWSf-SW-PeI/AAAAAAAHaCc/qROF0okroZc/s72-c/unnamed.jpg)
10 years ago
VijimamboMakongoro Nyerere Ametumwa na Nani Urais 2015?
Hakuna kipindi ambacho CCM imeingia katika Uchaguzi Mkuu ikiwa na makundi hatarishi na pia matatizo ya kiutawala kama uchaguzi Mkuu ujao.Ujio wa Abdulrahman Kinana kama Katibu Mkuu kwa kiasi kikubwa umekichelewesha chama kumeguka vipande vipande kabla ya Uchaguzi Mkuu ujao.
Wataalam wa kisiasa wanaendelea kujiuliza maswali mengi kuhusu hatima ya makundi na uhasama unaorutubika kila siku ndani ya CCM.
Udhaifu wa viongozi wakuu wa chama umesababisha baadhi ya wanachama kufanya watakacho kwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania