Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kuziona Stars, Algeria Sh5,000

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo kati ya Taifa Stars ya Tanzania na Algeria kuwa ni Sh 5,000 na 10,000.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Kuziona Yanga, Azam Sh 5,000

KIINGILIO cha chini katika pambano linalosubiriwa kwa hamu la Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga na Azam kesho kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kimepangwa kuwa Sh 5,000.

 

9 years ago

Michuzi

KUZIONA TWIGA NA MALAWI 1,000/= TU

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetangaza kiingilio cha shilingi Elfu moja (1,000)  ndio kitakachotumika kuingia kushuhudia mchezo wa kirafiki wa Kimataifa kati ya Timu ya Taifa Wanawake ‘Twiga Stars’ dhidi ya timu ya Taifa ya Wanawake Malawi utakaochezwa kesho Jumamosi, Novemba 7 katika uwanja wa Azam Chamazi.Twiga Stars inayonelewa na kocha mzawa Rogasian Kaijage iliingia kambini wiki iliyopita ambapo imekua ikifaya mazoezi kila siku katika uwanja wa Karume kujiandaa na mchezo...

 

9 years ago

Michuzi

KUZIONA YANGA, AZAM FC KIINGILI 5,000/=

SKIRIKISHO la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom siku ya Jumamosi kati ya Yanga SC dhidi ya Azam utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, kiingilio vha chini kikiwa ni shilingi elfu tano (5,000) kwa viti vyenye rangi ya bluu, Kijani na Machungwa.Tiketi za mchezo huo zitauzwa siku ya mchezo Jumamosi katika eneo la Uwanaj wa Taifa jijini Dar es salaam, ambapo kingilio cha juu kitakua ni Shilingi Elfu Thelathini (30,000) kwa VIP...

 

9 years ago

Michuzi

KUZIONA STARS, SUPER EAGLES SHS 7000/=

Maandalizi ya mchezo kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Nigeria (Super Eagles) yamekamilika, ambapo leo Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo huo wa jumamosi kati huku kiingilio cha chini kabisa kikiwa shilingi elfu saba tu.Viingilio vya mchezo huo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON Qaulifier 2017) kundi G itakua ni VIP A Tsh 40,000, VIP B Tsh 30,000, VIP C Tsh15,000, Rangi ya Machungwa (Orange) Tsh 10,000, na viti vya rangi ya...

 

11 years ago

TheCitizen

With Sh5,000, you can drive away a car from city mall

City motorists who use Mlimani City Shopping Mall parking lot should be on high alert or count losses following laxity in security among guards at the establishment.

 

9 years ago

Habarileo

Stars yaipania Algeria

KOCHA Msaidizi wa Taifa Stars Hemed Morocco amesema baada ya kuvuka hatua ya kwanza ya michuano ya kufuzu Kombe la Dunia, wanajipanga kuimaliza Algeria katika mchezo ujao.

 

9 years ago

Habarileo

Stars kuishtua Algeria

TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo imepania kuizima Algeria katika mchezo wa kusaka kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Urusi mwaka 2018, katika mchezo utakaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa.

 

9 years ago

Mtanzania

Stars matumaini kibao Algeria

Taifa-Stars-NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kimeondoka nchini jana alfajiri kuelekea jijini Algiers huku kikiwa na matumaini ya kufanya vizuri na kuwatoa wapinzani wao Algeria ‘The Desert Foxes’ ugenini.

Stars iliyolazimishwa sare ya mabao 2-2 nyumbani, itarudiana na Algeria kwenye Uwanja wa Stade Mustapha Tchaker jijini Algiers kesho katika mchezo wa raundi ya pili kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.

Kocha Mkuu wa Stars, Charles...

 

9 years ago

Mtanzania

Stars safi, Algeria pigo

KUBWANA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

WAKATI timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, ikiwa inaendelea vema na kambi yake nchini Afrika Kusini, wapinzani wao Algeria ‘The Desert Foxes’ wamepata pigo baada ya kuumia kwa staa wake, Sofiane Feghouli.

Algeria inawasili nchini kesho kucheza na Stars kwenye mchezo wa raundi ya pili wa kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi, utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Jumamosi hii, huku wa marudiano ukifanyika Jumanne ijayo jijini Algiers,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani