KUZIONA TWIGA NA MALAWI 1,000/= TU
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetangaza kiingilio cha shilingi Elfu moja (1,000) ndio kitakachotumika kuingia kushuhudia mchezo wa kirafiki wa Kimataifa kati ya Timu ya Taifa Wanawake ‘Twiga Stars’ dhidi ya timu ya Taifa ya Wanawake Malawi utakaochezwa kesho Jumamosi, Novemba 7 katika uwanja wa Azam Chamazi.Twiga Stars inayonelewa na kocha mzawa Rogasian Kaijage iliingia kambini wiki iliyopita ambapo imekua ikifaya mazoezi kila siku katika uwanja wa Karume kujiandaa na mchezo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo16 Oct
Kuziona Yanga, Azam Sh 5,000
KIINGILIO cha chini katika pambano linalosubiriwa kwa hamu la Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga na Azam kesho kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kimepangwa kuwa Sh 5,000.
9 years ago
Michuzi15 Oct
KUZIONA YANGA, AZAM FC KIINGILI 5,000/=
9 years ago
Mwananchi11 Nov
Kuziona Stars, Algeria Sh5,000
9 years ago
Michuzi27 Oct
TWIGA KUCHEZA NA MALAWI NOVEMBA 7
9 years ago
MichuziTWIGA YAENDELEA KUJIFUA KUWAVAA MALAWI
Twiga Stars iliingia kambini Oktoba 29, katika hosteli za Shirikisho zilizopo Karume, ina kikosi cha wachezaji 22 wanaofanya mazoezi asubuhi na jioni katika uwanja wa Karume.
Mchezo dhidi ya Malawi ni mchezo wa kirafiki wa...
9 years ago
Habarileo04 Nov
Twiga, Malawi kumuaga Chabruma Jumamosi
TIMU ya Taifa ya wanawake ‘Twiga Stars’ itatumia mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Taifa ya wanawake ya Malawi utakaochezwa Novemba 7 mwaka huu kumuaga mshambuliaji wao Ester Chabruma.
9 years ago
Habarileo28 Oct
Twiga Stars kuivaa Malawi Novemba 7 Dar
TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) inatarajiwa kuwa na pambano la kirafiki dhidi ya wenzao wa Malawi Novemba 7, mwaka huu jijini Dar es Salaam.
9 years ago
TheCitizen03 Nov
Kaijage names 22 Twiga Stars players for Malawi test
9 years ago
Habarileo06 Oct
Stars, Malawi 5,000/-
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetaja viingilio vya kuiona timu ya Taifa, Taifa Stars, katika mchezo wa kesho dhidi ya Malawi wa kufuzu Kombe la Dunia huku kile cha chini kikiwa ni Sh 5,000.