Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa mtindo huu mkulima wa mahindi kunufaika ni ndoto

Mkoa wa Ruvuma ni miongoni mwa mikoa michache nchini ambayo inaongoza kwa uzalishaji wa mazao ya chakula hususani mahindi.Mikoa mingine ambayo ni kinara katika uzalishaji wa zao hilo ni Iringa, Njombe, Rukwa, Katavi na Mbeya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Pangilia sebule yako kwa mtindo huu

Katika kipengele cha mitindo na utanashati, leo tutajikita katika kuangalia mpangilio wa veranda au sebule kama inavyofahamika na wengi.

 

10 years ago

Michuzi

WAKULIMA ZAIDI YA 12,000 KUNUFAIKA NA MBEGU BORA ZA MAHINDI NA ALIZETI MKOANI

Baadhi ya wakuliwa wa mkoani Shinyanga, wakiwa na maofisa wa Agrics wakati wa mafunzo na uingiaji mkataba wa makubaliano yliofanyika Kijiji cha Ishololo, Wilaya ya Shinyanga Vijijini. Warsha hiyo iliongozwa na Lazaro Japhet (aliyesimama wa tatu kushoto mstari wa mbele. Zaidi ya wakulima 12,000 wanataraji kufaidika na mbegu za mahindi na alizeti kutoka Kampuni ya Agrics. Mahindi yaliyooteshwa kisayansi na kampuni ya Agrics kwa lengo la kuthibitisha ubora wa mbegu zinazotolewa kwa wakulima wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtindo huu hauwezi kutoa katiba ya wananchi

KUPINGWA kwa mchakato wa katiba mpya unaoendelea mjini Dodoma  na makundi mbalimbali ya wanajamii, ni ishara tosha kwamba mtindo wa uendeshaji wa Bunge Maalumu la Katiba (BMK) unaotumika hauwezi kutoa...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania kuuza mahindi Kenya tani 50,000 za mahindi

Serikali ipo katika hatua za mwisho za makubaliano ya kuuza tani 50,000 za awali za mahindi nchini Kenya.

 

11 years ago

Mwananchi

Floral prints: Mtindo maalumu kwa wanawake

Licha ya kuwepo maendeleo makubwa katika sayansi na teknolojia duniani, lakini ukweli ni kwamba kwenye tasnia ya mitindo mingi imekuwa ikijirudia .

 

10 years ago

GPL

11 years ago

Mwananchi

Chagua mtindo sahihi wa nywele kwa ajili ya harusi

Uchaguzi wa mambo mbalimbali yanayohusu harusi ni kitu kinachohitaji umakini mkubwa hasa kwa upande wa wanawake ambao wamekumbwa na changamoto kadhaa.

 

11 years ago

Mwananchi

Tishio la kutoweka kwa ndizi labadili mtindo wa maisha

Tishio la kutoweka kwa migomba mkoani Kagera mbali na kusababisha uhaba mkubwa wa chakula na kuyumbisha uchumi wa familia nyingi, pia mfumo wa maisha umebadilika ili kukabiliana na hali hiyo kwa sasa.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Serikali isifanye mambo kwa mtindo wa zimamoto

>Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe ametangaza hatua ambazo Serikali imekusudia kuzichukua dhidi ya taasisi zote zilizosajiliwa kwenye wizara yake akisema zimekuwa zikikiuka malengo ya kuanzishwa kwake na kufanya mambo tofauti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani