Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa wanaolilia uhusiano wa mapenzi na wageni au wazungu-2

Karibuni rafiki yangu Mzungu alikuwa Afrika.Taaluma yake ni uanahabari. Anaipenda sana Afrika na watu wake. Zamani babu yake aliishi India na alipinga sana ukoloni. Ana mke na watoto wawili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kwa wanaolilia uhusiano wa mapenzi na wageni au wazungu

Miaka ya karibuni wananchi wengi hasa vijana, wamejiingiza kwenye uhusiano wa kimapenzi na wageni hasa wazungu. Mapenzi hayakuanza leo, jana wala juzi. 

 

5 years ago

BBCSwahili

Marufuku yawekwa ya uhusiano wa mapenzi kati ya wafanyakazi na wanafunzi, Uingereza

Wachambuzi wamefurahishwa na marufuku ya uhusiano wa mapenzi kati ya wafanyakazi na wanafunzi katika chuo kimoja

 

10 years ago

GPL

LULU AFUNGUKA KUWA HAPENDI KUWA KATIKA UHUSIANO WA MAPENZI

Stori: Imelda Mtema Staa wa filamu hapa Bongo mwenye mvuto wa kipekee, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kamwe hapendi kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na masharobaro akidai kuwa siku zote ni pasua kichwa ila anazimikia watu wazima waliomzidi sana umri. Staa wa filamu hapa Bongo mwenye mvuto wa kipekee, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akipozi.. Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Lulu alisema...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kwa mara ya kwanza Hyatt Regency ya Hong Kong yatoa ofa ya smartphone kwa wageni wake

hyatt-regency-tsim-sha-tsui-1

Na Mwandishi Wetu

Kwa mara ya kwanza hoteli maarufu duniani ya Hyatt Regency ya Hong Kong imetoa simu aina ya smartphone bure kwa wageni wake waliopanga kwenye hoteli hiyo.

Hoteli hiyo ya Hyatt Regency pia ilitoa viburutisho mbalimbali kama vile chocolates na mvinyo wa bure pamoja na simu aina ya smartphone katika vyumba vyake vyote 381 ili jitihada za kuongeza uzoefu kwa wasafiri na watalii kutoka sehemu mbalimbali duniani.

hyatt-regency-tsim-sha-tsui-smartphone

Katika kuwapa smartphone wateja wake za bure ni katika kutoa...

 

9 years ago

Mwananchi

Kiswahili zaidi ya lulu kwa wageni

Hivi karibuni, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Tataki), iliwapokea jumla ya wanafunzi 21  kutoka Marekani waliokuja nchini  kujifunza Kiswahili.

 

11 years ago

Habarileo

Tanga wasitisha ugawaji wa mashamba kwa wageni

MKOA wa Tanga umesitisha ugawaji wa mashamba na maeneo ya malisho kwa wageni hadi utakapokamilisha upimaji ardhi yote na kuipangia matumizi.

 

10 years ago

GPL

WAGENI BBA HOTSHOTS WAKARIBISHWA KWA BURUDANI

Mwanamuziki wa Afrika Kusini, Sibongile Mngoma akitoa burudani, juzi Ijumaa, kwenye Ukumbi wa Winnie’s Soul & Jazz kwa ajili ya wageni maalum waliokaribishwa kwenye uzinduzi wa Shoo ya Big Brother HotShots jijini Johannesburg. Shoo hiyo itazinduliwa rasmi leo. (PICHA: JOHN JOSEPH / GPL,…

 

10 years ago

Habarileo

Wageni 2,000 matatani kwa kujiandikisha BVR

IDARA ya Uhamiaji nchini imetoa onyo kwa raia wa kigeni watakaobainika kuwa na vitambulisho vya kupigakura baada ya kubaini raia hao zaidi ya 2,000 kuwa na vitambulisho hivyo katika msako unaofanywa na maofisa wao kwenye miji iliyo mipakani hapa nchini.

 

11 years ago

Dewji Blog

Airtel yapunguza gharama za mawasilano kwa wageni/watalii

pic 1

Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Bw, Sunil Colaso akifuatiwa na  Meneja Masoko wa Airtel bi, Prisca Tembo ,na Mwenyekiti wa shirikisho la  wadau wa Utalii Tanzania Bwana Gaudence Temu , wakionyesha vifurushi vya bidhaa mpya ya Airtel Tourist Pack , wakati wa uzinduzi wa kifurushi hicho kitakacho wawezesha watalii kuwasiliana na familia zao mara wawapo nchi katika utalii, uzinduzi hu umefanyika leo katika makao makuu ya Airtel Dar es salaam.

pic 3

Mkurgenzi mtendaji wa Airtel...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani